Polisi Mrembo akiwa In The Line Of Duty...!

Sawa kila la kheri ila usisahau kuuliza juu ya cheti chake

habari ya cheti ndiyo tukio naloenda kulifanya hapo.
nimeandaa bango lenye ujumbe wa kudai cheti cha Bashite, naenda kuweka kambi hapo nje ya ofisi yake ili nikamwatwe na huyu mrembo.
 
Kipindi nipo kidato cha sita alikuja constable wa kike mzuri sanaa nlibahatika kuchonga nae lakini yule msimamizi mkuu wa kituo cha mtihani aliniletea ngumu akaninyakua kabla sijafanikisha lengo langu la kumtokea yule police ana alikua mzuri sjawah kuona
Sizani kapa ulibance combination yako

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom