Polisi Monduli, Mzee Lowassa anakuja kutengua kauli ya Rais ya maandamano, je Safari hii mtamruhusu?

Anatarajiwa kurejea Monduli, CCM imeandaa mapokezi kuanzia Arusha na taarifa zinaeleza kuwa polisi watasimamia mkutano huo. Je, Huyu Lowasa wa Sasa ni tofauti na yule aliyekuwa Chadema ambaye kila alipokuwa anakanyaga polisi walimdhibiti?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa Tanzania ukiwepo ccm wewe ni mtanzania lkn ukiwepo upinzani huna haki ya uraia

In God we trust
 
Wakati huo huo Mbowe akitangaza kufanya maandamano makubwa Arusha, Dar, Iringa, Mbeya na Mwanza utawasikia hawa green guards AKA policcm kuja na sababu za KIPUMBAVU ili kuzuia maandamano hayo.

Anatarajiwa kurejea Monduli, CCM imeandaa mapokezi kuanzia Arusha na taarifa zinaeleza kuwa polisi watasimamia mkutano huo. Je, Huyu Lowasa wa Sasa ni tofauti na yule aliyekuwa Chadema ambaye kila alipokuwa anakanyaga polisi walimdhibiti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatarajiwa kurejea Monduli, CCM imeandaa mapokezi kuanzia Arusha na taarifa zinaeleza kuwa polisi watasimamia mkutano huo. Je, Huyu Lowasa wa Sasa ni tofauti na yule aliyekuwa Chadema ambaye kila alipokuwa anakanyaga polisi walimdhibiti?

Sent using Jamii Forums mobile app
Polisi mkoa mzima watajitokeza kumlaki bila bunduki wala virungu.
 
Back
Top Bottom