Polisi mnaorekodi Mikutano ya CHADEMA mbona hatuwaoni kwenye mikutano ya CCM?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,608
218,024
Hivi mkiambiwa mnatumikishwa hovyo mtakataa ? Hiki kitengo kipya cha kutengeneza sinema mithili ya Bongo muvi kinagharamiwa na nani , kwanini kimelenga Chadema pekee ?

Kama lugha chafu na za kejeli zimejaa kwenye mikutano ya ccm , kila mtu ni shahidi , kwanini mnakiandama chama kimoja tu , tena kwa kiwango duni kiasi hata kipofu anawaona ?

Hii ccm mnayoitumikia iko siku itaanguka ( HUU NDIO UKWELI ) , je mnatarajia watakaoingia waendelee kuwapa kazi au wawafute tuanze upya ?
 
Sasa hivi ili uonekane unaenda na wakati tekeleza mambo haya;
  1. Hujumu/kejeli upinzani.
  2. Msifu Magufuli huku ukichombeza na miradi ya SGR, stiegler gorge nk.
 
Ni aibu sana aiseeee !!!
inaboa sana

Hivi mkiambiwa mnatumikishwa hovyo mtakataa ? Hiki kitengo kipya cha kutengeneza sinema mithili ya Bongo muvi kinagharamiwa na nani , kwanini kimelenga Chadema pekee ?

Kama lugha chafu na za kejeli zimejaa kwenye mikutano ya ccm , kila mtu ni shahidi , kwanini mnakiandama chama kimoja tu , tena kwa kiwango duni kiasi hata kipofu anawaona ?

Hii ccm mnayoitumikia iko siku itaanguka ( HUU NDIO UKWELI ) , je mnatarajia watakaoingia waendelee kuwapa kazi au wawafute tuanze upya ?
 
Hivi mkiambiwa mnatumikishwa hovyo mtakataa ? Hiki kitengo kipya cha kutengeneza sinema mithili ya Bongo muvi kinagharamiwa na nani , kwanini kimelenga Chadema pekee ?

Kama lugha chafu na za kejeli zimejaa kwenye mikutano ya ccm , kila mtu ni shahidi , kwanini mnakiandama chama kimoja tu , tena kwa kiwango duni kiasi hata kipofu anawaona ?

Hii ccm mnayoitumikia iko siku itaanguka ( HUU NDIO UKWELI ) , je mnatarajia watakaoingia waendelee kuwapa kazi au wawafute tuanze upya ?
Hivi hiki chama bado kipo?
 
Hata ingetokea Chadema jaribio Lao la kuiba kura lingefanikiwa Leo Hii Polisi wangekuwa Chadema
 
Hawa jamaa wanazidisha chuki baina yao na raia. Kwa nini wasifanye kazi zao kwa weledi? Hawaoni wenzao JWTZ, wanapendwa na kuheshimiwa na raia.
 
Back
Top Bottom