Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,549
Kwa katiba ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hakuna aliyejua ya sheria na kila mtu ni innocent kabla ya hukumu, Wallah Wabillah Taallah kwa ushahidi walioutoa mmefanya ukatili wa hali ya juu sana kupita kiasi, maana mpaka sasa kwenye ushindi wa pande zote mbili hakuna hisia za ugaidi hapa zaidi ya uonevu tu. Hakuna si upande wa utetezi wala upande wa mashtaka kwa ushahidi uliotolewa mtu unaweza kusema hawa ni magaidi hata kama hukumu ya mahakama bado.
Mmeamsha hisia za watu, hawa walikua ni makomandoo hamjui wameacha jamaa zao wangapi kule kazini, wanafamilia na wana wazazi wao walivuja majasho kuwalea. Basi mfanye hayo yote kwa kosa linalodhihirika, hapa tunasikia kua walikamatwa tuu walikua wakila njama za kulipia vituo vya mafuta kwa ujira wa laki 6. Tunajua ushahidi wa Mbowe utahitimisha kila kitu, mmeitonesha jamii, mmeumiza watu mno.
Kingai na Mahita kama maafisa wa polisi wanatajwa sana kuongoza hili zoezi, hivi wao si binadamu? Kweli mti ambaye tu hana historia ya tukio baya kwenye jamii tena wengine tunaambiwa ni wachamungu mnawakatili kiasi hicho?
Hiki kiburi cha utesaji kwa ukatili huu kinatoka wapi? Shida ni Mbowe tuu au kitu gani kuumiza watoto wa watu kiasi hiki?
Haya,shahidi anasema Goodluck alimwambia tutakutupa kama Moses Lijenje ukijifanya jeuri, huku polisi mmekana kumpata Moses Lijenje. Iko siku Goodluck atasema mlimtupa wapi.
Mungu atie ukuu wake katika hili, wenye roho za Wanyama na wageuke kua wanyama kama Nguruwe.