Polisi mlichowafanyia hao wanajeshi kwa ushahidi wao mmewakomoa ila mnatia hasira

Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu
Nimewachukia Sana watoto wa quarters kupitia mijadala mbalimbali inayowahusisha Mahita na Kingai Kama watoto wahuni wa line.

Lakini najiuliza swali moja, Kwanini Mbowe alihitaji makomandoo, tena moshi na sio Ufipa kinondoni na Dar es salaam?!

Kunakitu kinaniambia kua huenda kunauovu fulani Ila pia polisi wetu wameshindwa kufuata utaratibu na pia wamekosa utu, kwa sasa siwezi kutana na Mahita au Kingai bar moja eti ninywe bia comfortably.

Naamini hii kesi jamhuri watapoteza, Ila haimanishi kua hakukua na uovu uliokua unapangwa.

Theory yangu nadhani , Hawa walikua recruited na Mbowe ku counter attack lile kundi la Sabaya,

Kama theory yangu ikiwa proven right, basi tushukuru pandezote yaani Sabaya na Mbowe na washirka wake wamedhibitiwa.

Nchi yetu ni bora Sana bila hao watu.
Naomba kusisitiza kua hii ni Nadharia binafsi.
 
Hupo usemi wa kiafrika unaosema"matako ata yawe na haraka kiasi gani hayawezi kuwa mbele" .Uongo utadhihilika hivi punde vinginevyo jaj nae awe wa mchomgo.
 
Back
Top Bottom