Polisi mkoani Mbeya watoa tamko baada ya vurugu kubwa za wananchi wakilituhumu Jeshi hilo kwa kifo cha mtuhumiwa mmoja

nimecheka sana...ni sawasawa umekuja nyumbani kwa baba yako huku unanuka pombe na umelewa halafu bila aibu unamwambia baba yako kwamba hujalewa.hata kidogo ..wakati unaongea hayo unayumba yumba na chupa ya konyagi iko mfukoni ...baba yako ana umri wa miaka 60, wewe una miaka 20...
 
Back
Top Bottom