Polisi Maswa kuweni makini kuna mtu atapoteza kazi,tena mzito!

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Kiroho safi tu nawatahadharisha kuhusu kukamata watu na kuwabambikia kesi ili mpate mlungura!Zinakuja ila za moto.Nimetoa tahadhari,tendeni haki!Msimdharau msiyemjua!
 
Kiroho safi tu nawatahadharisha kuhusu kukamata watu na kuwabambikia kesi ili mpate mlungura!Zinakuja ila za moto.Nimetoa tahadhari,tendeni haki!Msimdharau msiyemjua!

Mkwara mbuzi ili wasikukamate wakati inaonekana una RB,utasakwa tu
 
Mlivyoshindwa kupitisha mirungi Mwanza sasa mnataka kuipitishia huku mnadhani na polisi wa huku wote ni wanyantuzu eti weweee
 
Back
Top Bottom