Polisi: Marehemu Ally Zona aligongwa na kitu kizito na sio Risasi

ni ngumu sana kumkabidhi fisi bucha au zizi la mbuzi hatutaweza kupata suluhu hadi tume huru ya mahakama

na kwanini akimbilie kutoa ripoti hiyo wakati kuna tume ya uchunguzi?leo ni meizi kadhaa tume ya kova imefikia wapi?
 
Waswahili bana , tuamini vyombo vyetu , kama tulivyoamini matokeo ya mahakama ya Igunga, isiwe upande mmoja tu!.
 
Akina ULI nao wameingia kwenye mtego huu? Hivi kuna kitu kizito zaidi ya RISASI inafunguliwa na kutua maungoni?
 
niwazi kabisa vijana wa chadema ndo walio muua kijana ally muislam mwenzetu.hii ni mara ya pili kwa muislam kufa ktk maandamano ya cdm. Cdm imehusika iwaeleze wananchi
 
Polisi Morogoro imeendelea na sinema zake, na sasa RPC Shilole (?) anasema uchunguzi umebaini kuwa marehemu aligongwa na kitu kizito kichwani na kumsababishia jeraha hadi kifo kwa kuvuja damu nyingi, na sio kupigwa risasi.

RPC huyo amesema hiyo ni kwa mujibu wa uchunguzi wa madaktari wa hospitali ya Morogoro.
 
hakuna kada iliyojaa wajinga kama polisi, huu ujinga waliokuja nao leo unaweza kuingia kwenye kitabu cha GUINESS.
 
niwazi kabisa vijana wa chadema ndo walio muua kijana ally muislam mwenzetu.hii ni mara ya pili kwa muislam kufa ktk maandamano ya cdm. Cdm imehusika iwaeleze wananchi
Kwahiyo unataka kutuaminisha kwamba mgongoni kwake alikuwa na bango la kumtambulisha kuwa ni muislam?
 
Sidhani kuna kingine kilitegemewa,yule mwansheria wa CDM aliyeteuliwa na chama kusimamia uchunguzi wa mwili wa marehemu atwambie alichoona
 
Back
Top Bottom