Polisi kuwapachika majina mapya watuhumiwa wanapofikishwa kituoni, ndo sababu ya ndugu zetu kupotea kusikojulikana

Kelele zipigwe na wote
No, sisi wengine hatupati lishe kupitia siasa za moja kwa moja! Hao wanaoishi kwa kutegemea siasa (kupitia ruzuku, mishahara, misaada kutoka kwa wahisani) wafanye kazi yao kwa nguvu zote, sisi tutatoa support
 
Nimepita Twitani nimekuta anatafutwa huyu anayeitwa Lijenje. Kwani yeye ni nani na kwanini anatafutwa?
 
Lile mtu linaitwa Siro ni jitu la ovyo puuzi na roho mbaya kama Idi Amin tuu, ndio engineer la deal za utekaji na kuua raia, sijui limetoka wapi lile, ila wananchi wameshalijua watalikomesha tuu
 
Namkumbuka sana Said Mwema
Lile mtu linaitwa Siro ni jitu la ovyo puuzi na roho mbaya kama Idi Amin tuu, ndio engineer la deal za utekaji na kuua raia, sijui limetoka wapi lile, ila wananchi wameshalijua watalikomesha tuu
 
Mama Samia ingilia kati jeshi la polisi linatumaliza, nchi inateketea kwa kunuka uovu, jeshi la polisi naomba litambue dunia haina siri wafanye maovu lakini sasa ila technologia itawaumbua.
 
Hope mko poa kabisa.

Kesi ya Freeman Mbowe imetufungua macho wengi,

Yaani polisi wanakamata mtuhumiwa let say mtuhumiwa anaitwa Faru John,, afu wakienda kumuandikisha wanaandika may be Fredrick Paul, so ata akiteswa akauwawa ndugu hamtampata.
Maana mkienda kwenye kituo cha polisi mtakuta jina bandia walilombatiza mtuhumiwa.

Huu ujinga ulioletwa na polisi waTanzani lazima ukomeshwe, polisi nyie sio maaskofu kuweza kubatiza watu majina.

Bring back our Lijenje

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Thoughtful
 
Haya mambo hayakuonekana wakati wa Ernest Mangu au Said Mwema na wengineo ma IGP walio tangulia.
Lakini baada ya kuingia huyu bwana Simon Sirro tena akiwa chini ya CiC wake Mwendazake basi mambo yakaharibika na jeshi Zima la polisi likawa la hovyo sana pengine kuzidi hata lile la polisi wa makaburu kule SA.
Hao wawili ndio wameharibu kabisa hili jeshi na wanapaswa kulaaniwa na wapenda haki duniani.
 
Kabisa mkuu

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Hope mko poa kabisa.

Kesi ya Freeman Mbowe imetufungua macho wengi,

Yaani polisi wanakamata mtuhumiwa let say mtuhumiwa anaitwa Faru John,, afu wakienda kumuandikisha wanaandika may be Fredrick Paul, so ata akiteswa akauwawa ndugu hamtampata.
Maana mkienda kwenye kituo cha polisi mtakuta jina bandia walilombatiza mtuhumiwa.

Huu ujinga ulioletwa na polisi waTanzani lazima ukomeshwe, polisi nyie sio maaskofu kuweza kubatiza watu majina.

Bring back our Lijenje

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Hakika inauma sana.Kwani tuseme rais mama Samia hili hajaliona au kulisikia? kwanini hapazi sauti? Unafikiri kwanini asimuwajibishe mkuu wa polisi kwa kitendo chakubadilisha majina watu wakiwa Mahabusu?
 
Unaweza kumpata marehemu wako kama utaenda kutembelea mochwari za mikoa yote Tanzania, nadhani marehemu huwa hawaandikishwi majina yao ili wahifadhiwe.

Kuna watu wamegoma kabisa kumuogopa Mungu, ugumu wa maisha umewaondolea roho ya ubinadamu wameamua kuwa wanyama katili kwa binadamu wenzao afadhali ya simba.

Habari hii iwafikie Sirro Kingai bila kumsahau Mahita wengine hawa ni kuwajibisha kibinafsi
 
Hii inaonekana kuwa ni mahsusi kwa kigenge fulani cha watu wasiojulikana kilichomo ndani ya jeshi la polisi chini ya Sirro.

Hawa hushirikiana pia na wengine ambao hujiita wa ikulu kuwaficha watu kwenye basement za majumba yao kama hivi:

View attachment 1961749

Yawezekana, Ben Azory Lijenje wako hai mahali.

We should task these people to produce them alive.
Tulikuwa tunajiuliza watu wasijulikana ni akina nani, tunakaribia kuwajua
 
Hope mko poa kabisa.

Kesi ya Freeman Mbowe imetufungua macho wengi,

Yaani polisi wanakamata mtuhumiwa let say mtuhumiwa anaitwa Faru John,, afu wakienda kumuandikisha wanaandika may be Fredrick Paul, so ata akiteswa akauwawa ndugu hamtampata.
Maana mkienda kwenye kituo cha polisi mtakuta jina bandia walilombatiza mtuhumiwa.

Huu ujinga ulioletwa na polisi waTanzani lazima ukomeshwe, polisi nyie sio maaskofu kuweza kubatiza watu majina.

Bring back our Lijenje

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Hilo NENO unaenda Kumtafuta kwa Jina lake halisi wanakwambia hayupo
 
Hao viumbe sionagi umuhimu wao hapa duniani

Shida uelewa na elimu hawana
wanafanya kazi kwamazoea kama wapo kipindi cha ukoloni
 
Ndo umejua leo!!!??Huo mchezo mbona hata wakata tiketi wa mabasi wanaucheza,gari ikipata ajari huwezi fahamu kama ndugu yako alikua mule maana majina wanabumba sana
 
Back
Top Bottom