CHANZO: Polisi kuwakamata wabunge wa CDM waliokatwa mapanga | Fikra Pevu | Kisima cha busara!
Alitaja namba za magari yaliyokutwa kwenye eneo la tukio kuwa ni pamoja na T 377 ARF linalomilikiwa na mbunge Kiwia, T 729 DAD linalomilikiwa na Mohamed Juma pamoja na T 397 ANU aina ya Land Cruiser ambalo mmiliki wake hakupatikana.
Hawa polisi wako serious kweli? Kwa dunia ya leo inawezekana kwa polisi kushindwa kumfahamu mmiliki wa gari ambalo namba yake wanayo?
Kwani mwisho wa kutembea usiku Tanzania bila kuvunja sheria ni saa ngapi? Kwani kutembea usiku tunahitaji kuwa na vibali vya polisi? Polisi acheni maneno yenu bwana.