Polisi kuungana kupanga njama za kuniua wakiungana na mtandao wa ufyatuaji noti bandia nchini

Pole sana ndugu,ili jambo linaonekana ni very serious,ila kwa ushauri tu ni bora ungelitolea taarifa kwa ngazi za juu zaidi za jeshi la polisi,vyombo vya habari vingi na hata asasi zisizo za kiserikali mapema iwezekanavyo ili wajue kabisa njama zao zimegundulika,vinginevyo unaweza ukawa late na wakakumaliza kweli!ili jeshi letu la polisi kwa kiasi fulani limepoteza uadilifu kabisa,pole sana ndugu!

Ushauri mzuri kabisa!!!Bila media kuingilia kati,huyu jamaa tutamsahau muda si mrefu!!!
 
Mkuu Mushi,
Vile vile jaribu kuwashirikisha usalama wa taifa pamoja na kamati ya ulinzi na usalama,
Nchi hii Polisi wamekuwa ndiyo wahalifu namba moja,
 
Nakupa pole ndugu kwa masahibu hayo, hapa ndo naishangaa Tz yetu ingekuwa ni mtasha au hata foreigner ungeona polisi wanavyo kimbizana kumlinda usiku kucha lakini sisi kwa sisi tunafanyiana roho mbaya tu kitu nisichokitegemea kwa nchi za wenzetu kumjali mgeni kuliko mzawwa! nakushauri kusanya ushahidi wa juhudi zote ambazo umezifanya so far na uende press make wamekuwa wakijidai ulinzi shirikishi kumbe uhuni mtupu hapo ndo kitanuka
 
Tayari hii kitu ina mkono wa Ikulu na ndo mana kila atua unayokwenda unapozwa tu. Wanajua wakishakuua basi ni upepo na tutasema na itapita. Hii inanikumbusha Chacha Wangwe!!!!
 
nazani inabid wananchi tuwe paramilitary units zetu ili tuzitumie hizo pale mambo yanapokuwa hayaeleweki-hii itatusaidia pindi uonevu umezidi-La sivyo tutauliwa huku tunajiona
 
Mkuu Mushi,
Vile vile jaribu kuwashirikisha usalama wa taifa pamoja na kamati ya ulinzi na usalama,
Nchi hii Polisi wamekuwa ndiyo wahalifu namba moja,

hao watu uliotaja wote wanajuana.kifupi ni kama inaweza isimsaidie-HIVI UMESAHAU YULE POLISI WA MOROGORO ALIYESHUTUMU WENZAKE NA MAKOSA LUKUKI,CHA AJABU BADALA YA KUCHUNGUZA TUHUMA WAO WAKAMPELEKA MIREMBE KUWA NI CHIZI/KARUKWA NA AKILI-MIREMBE DOKTA AKAMKATAA,WORSE ENOUGH,AKAENDELEA KUTOA MALALAMIKO NA KUANDIKA BARUA KWA WAKUU WAKE..BLAH BLAH ZIKAWA NYINGI SANA...NDIO MAANA NASEMA TUKIWA NA DEFENSE YETU ITAKUWA BEST OPTION
 
Mkuu Mushi,
Vile vile jaribu kuwashirikisha usalama wa taifa pamoja na kamati ya ulinzi na usalama,
Nchi hii Polisi wamekuwa ndiyo wahalifu namba moja,
Usalama wa taifa tena you must be joking awashirikishe the same same people?
 
Kama ni kweli POLE SANA! wakuu wamekupa ushauri mzuri,mi nijazie tu kwamba acha masihara na mitandao ya uhalifu,sababu wanashirikiana na wakubwa! nenda kwenye vyombo vikubwa vya habari weka mambo hadharani halafu sikilizia!
 
'kimbilia kwenye media'ni wazo mbadala.Wanaharakati wanaweza saidia pia.Komaaa mkuu jasho la m2 haliliwi.
 
Huyu jamaa ni excited for no reason. Hapa wanabishana kuhusu mil. 3,sio hela za watu kuuana,hasa kwa vile nasikia huyu ana biashara ya mabasi arusha,mabasi ambayo yameandikwa "mushi ndesamburo" katika story aliyosema hapo,hajaonyesha connection kati ya wao kutapeviana mil chache na wale kuwa money launderers au money counterfeiters.
 
Back
Top Bottom