Polisi kuua Raia Watalii kukimbilia Kenya (picture) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi kuua Raia Watalii kukimbilia Kenya (picture)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchonga, Jan 6, 2011.

 1. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Duuuu doa jeusii kabisaa na halitafutika!!!
   
 3. A

  August JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  hivi ndio sirikali ya jua kali inavyo nyanyua maisha ya wabongo
   
 4. k

  kituro Senior Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kenge ni kenge tu! Hata ukifanyaje huyo ni kinge tu!.
   
 5. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kazi ipo.Serikali itumie busara na sio mabavu..
   
 6. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Safi sana.. finally tumeonyesha true colors zetu.. nimesoma comments za wakenya wanatucheka sana.... na wana haki ya kutucheka maana tuliwadhihaki tukajiona si bora zaidi eti tuna amani na mshikamano.. my foot! Sasa wenzetu wameshatiana adabu wanajenga nchi si bado tunacheza kiduku na viongozi wetu... :A S-devil1:
   
 7. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nadhani mzalendo Basilio Matei atakuwa ametokwa machozi kama nilivyotokwa machozi ya uchungu kuona ule udhalimu ukitokea nyumbani ninapopapenda kwa moyo wangu wote.
  Huyu mheshimiwa--pamoja na shinikizo kubwa--alitumia busara nyingi ili kuepusha janga kama hili--baada ya kukataa katakata kuchakachua matokea ya ubunge.
   
Loading...