Polisi kutumia risasi za moto kumwokoa m/kiti wa kijiji aliyetekwa na wananchi je ni sahihi?

Mr.Busta

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
672
99
wanajf naomba tujadili uhalali wa jesh la polisi kutumia risasi za moto kwa lengo la kumwokoa M/kiti wa kijiji kigamboni baada ya kutekwa na wanakijiji wake baada kutokea vurugu kati yao na police baada ya kuondolewa kwa nguvu ktk eneo lao la kuchimba kokoto. .Je ni halali kwa polisi kufanya hvyo? Je hakuna mbinu mbadala mpaka kutumia risasi za moto? Je kutumia risasi za moto haiamshi hasira zaidi kwa wananchi? Hatujaonyeshwa kama wananchi walikuwa na silaha za hatari je inatoa tafsiri gani kwa jeshi letu-? Kwa wanaojua sheria tupeni ufafanuzi kwa hili jambo.SOURCE ITV
 
Acha wacha wamuokoe bana maana hamchelewi kusema ni polisi ndiyo walimteka ili wampeleke Pande! wamejifunza kutoka kwa Dr!
 
Acha wacha wamuokoe bana maana hamchelewi kusema ni polisi ndiyo walimteka ili wampeleke Pande! wamejifunza kutoka kwa Dr!

kama walitumia za kupigia binadam ni SAHIHI KABISA ila kama walitumia za kuwidia TEMBO ilo nikosa lisasi zamoto kaziyake ndio hiyo ndio maana zimenunuliwa siku nyingine usisogeree sehem kama hiyo kwa usalama wakooooo pole sana
 
wanajf naomba tujadili
uhalali wa jesh la polisi kutumia risasi za moto kwa lengo la kumwokoa
M/kiti wa kijiji kigamboni baada ya kutekwa na wanakijiji wake baada
kutokea vurugu kati yao na police baada ya kuondolewa kwa nguvu ktk eneo
lao la kuchimba kokoto. .Je ni halali kwa polisi kufanya hvyo? Je
hakuna mbinu mbadala mpaka kutumia risasi za moto? Je kutumia risasi za
moto haiamshi hasira zaidi kwa wananchi? Hatujaonyeshwa kama wananchi
walikuwa na silaha za hatari je inatoa tafsiri gani kwa jeshi letu-? Kwa
wanaojua sheria tupeni ufafanuzi kwa hili jambo.SOURCE ITV
Hebu jaribu kuacha kufikiri kwa kutumia Masaburi,we ulitaka wananchi wamchinje ndo uridhike?! hiyo ndio kazi yao kulinda watu na mali zao! na risasi zinanunuliwa kwa ajili hiyo! Acha hizo! Ungetekwa wewe je?
 
hizo risasi zilipigwa kuelekea watu au zilipigwa angani?
 
Back
Top Bottom