Polisi kubalini kosa tukio la arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi kubalini kosa tukio la arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by muhogomchungu, Jan 16, 2011.

 1. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nadhani Polis ikubali kosa kwa mauji ya Arusha. kwanini dk slaa na wenziwe wasishtakiwe kwa kosa la Kutaka kuvamia kituo na kupora silaha ili watz wanaipenda nchi yao waamni? lkn pia mbona yule alieuwa tunaambiwa alikuwa mbali sana na kituo cha Polisi, yaani Haipungui km5 kutoka kituo cha Polisi kama wanavyosema mashuhuda?.


  POLISI KUBALINI KOSA. TUANZE KAZI UPYA
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Jan 16, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  wakubali kosa gani wakati wameshasema ilikuwa ni kujihami?
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wakushtakiwa wa kwanza ni viongozi waliochochea maandamano na walioamrisha kundi kitoke mkutanoni kwenda kituo cha polisi. Wakionekana na mahakama kuwa hawana kosa ndio polisi washtakiwe na dola na wao wajitetee mahakamani kama hao viongozi waliochochea.
   
 4. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inamaana viongozi wa chadema wataongezewa kosa la kutaka kuvamia kituo cha polisi?
   
 5. V

  Vipaji Senior Member

  #5
  Jan 16, 2011
  Joined: Jun 11, 2009
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  polisi siku zote ni vibaraka tu mfano mzuri wa kuigwa ni tunisia, polisi hawana akili; walio na akili hawawezi kuomba kazi ya kuwa polisi: Mfungwa mmoja alipotukanwa na polisi magereza; polisi alijibiwa kuna tofauti gani mimi nawewe labda mimi mfungwa niahesabiwa miaka ya kukaa gerezani na wewe askali unakifungo cha maisha kwakuwa wewe muuwaji:
   
 6. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ni hivi polisi wakubali au wakatae bado ukweli unabaki pale pale ni WAUAJI;,,NA SISI WAPENDA DEMOKRASIA NA HAKI SAWA,TUTAENDELEZA MAPAMBANO HADI KIELEWEKE,muda wa kubembelezana umeisha
   
 7. M

  Masonjo JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2011
  Joined: Aug 8, 2010
  Messages: 2,725
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hivi siku ile ya mazishi si Mbowe aliagiza kufanyika kwa maandamano nchi nzima, yamefikia wapi?
   
 8. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  na kikwete aliposema anasikitishwa na kuhuzunishwa na yaliyotokea Arusha na kuahidi kuwa hayatarudia alikuwa ana maana gani? nadhani alikuwa anakubali kuwa alikosea kutoa amri ya kuua raia wasiokuwa na hatia na wala hatarudia kutoa amri kama hizo. Vinginevyo hana uwezo wala mamlaka ya kuwasemea Chadema kuwa hawatafanya walichofanya siku ile!
   
Loading...