lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,168
- 2,656
Poleni na kazi ya kupambana na uhalifu, iko hivi nilipoteza simu yangu ilikuwa na line 2 basi nikajitahidi kwenye saa saba mchana nikafika pale Central police haraka haraka ili ni report kupotelewa na simu pamoja na line.
Kuingia nikaelekezwa dawatini (wanaposhughulikia hizo loss report) kuwaelezea nikaambiwa hakuna network, basi nikamuomba askari aliyekuwepo hapo walau anirekodi mahala kuwa nilifika kureport ili zile line hata zikifanya uhalifu huko Mimi nisije kusumbuliwa nikajibiwa bila network haiwezekani. Nikaondoka kinyonge na hapo niliomba ruhusa kazini, kesho yake nayo nikajikongoja saa nne asubuhi Mara nikaambiwa subiri mpaka saa saba.
RAIA wengi hapo walikuwa wanalalamika mwingine anakwambia nina siku ya tatu bado sijashughulikiwa nikaona napoteza muda wangu nikajitafutia mbadala wa line zangu sikwenda tena.
Inakuwaje network isumbue sehemu sensitive kama hapo? Au watenda kazi ni wachache au ni sababu za kiusalama? Ilinishangaza karibu kila ninayemuhadithia ana story the same.
Wakuu zangu polisi au ni sababu za kiusalama?