Polisi Kanda maalumu Dar yakamata watuhumiwa 3 wa unyang'anyi wa silaha

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Polisi kanda maalum ya DSM imefanikiwa kukamata watuhumiwa watatu walijihusisha na unyanga'anyi kwa kutumia silaha na mauji kwa kutumia ak47. Kati ya watuhumiwa hao alikuamo raia kutoka nchini Burundi mwenye mafunzo ya ukomandoo na alitumika kufanya mauji kadhaa jijini DSM

.
Capture-19.jpg
 
OK, hongera jeshi la polisi kwa kazi nzuri.

Ila mwachieni kijana wa picha za hostels za UDSM itakuwa uzalendo zaidi.
 
Hiyo ndio kazi yenu hongereni kama sio movie, ila mwachane dogo arudi lecture mnampotezea muda tuu wakati hamna kesi
 
Hahaha komando akamatwe na hao wananchi wakakamavu (Askari polisi)? njoo Hapa kizuka ama hapo kwenye detach ya mbezi beach kwa ulinzi wa rais na evacuation uone kama hivyo viaskari vinaweza mkamata commando (SPF)
 
Inategemea mkuu,,,kwan komandoo sio binadamu???? Risasi huwa haziingii mwilini mwao au,,, hawatumii mawasiliano yoyote ya Simu au njia zingine za mawasiliano, ,,,
 
Hiyo ndiyo kazi yenu, sio kuhangaika kwenye mitandao na kukamata vijana wanaoonyesha mapungufu mbalimbali
 
Kwa vyovyote, watakwenda kuonyesha silaha/ au watuhumiwa wenzao then watajaribu kutoroka chini ya ulinzi wa polisi, polisi watawapiga risasi na wakati wanapelekwa hosp. watafariki kutokana na majeraha na kutokwa damu nyingi! Ni utabiri tu sina maana ya ukweli.
 
Hahaha komando akamatwe na hao wananchi wakakamavu (Askari polisi)? njoo Hapa kizuka ama hapo kwenye detach ya mbezi beach kwa ulinzi wa rais na evacuation uone kama hivyo viaskari vinaweza mkamata commando (SPF)
Akiharibu anatandikwa vizuri tu labda police hawajaamua.
 
Polisi kanda maalum ya DSM imefanikiwa kukamata watuhumiwa watatu walijihusisha na unyanga'anyi kwa kutumia silaha na mauji kwa kutumia ak47. Kati ya watuhumiwa hao alikuamo raia kutoka nchini Burundi mwenye mafunzo ya ukomandoo na alitumika kufanya mauji kadhaa jijini DSM

.View attachment 644524

Hiyo MAUJI ni maksudically au!?

Madereva wanaendesha,
Walimu wanafundisha,
Madaktari wanatibu,
Watangazaji wanatangaza,

IKITOKEA WAKASHINDWA KUWAKAMATA NDIO IWE HABARI,
SIO WAKIWEZA.

Lakini nimekumbuka kuna wengine wanatafsiri

PC- Police Constable
PC-Press Conference
PC-Poleni Chadema
PC-...............
 
Picha zi wapi au ndio wale walioshukiwa pale Lumbumba street wakati tukipata sekera zetu njemba zimeshiba moja inapiga piga picha na zingine zipo karibu na gari zinadai tushajikoki na tunasubiri amri yako tu... zikadakwa fasta moja ya boda boda ikakimbia na ikakamatwa uzuri mtu wa cctv camera ndani ya ofisi ya Muarabu alishtukia mienendo yao...
 
Back
Top Bottom