Polisi kanda maalum: Tupo tayari kuilinda bakwata na viongozi wake.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi kanda maalum: Tupo tayari kuilinda bakwata na viongozi wake....

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by only83, Sep 13, 2012.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  ..Kamanda Kova kasema kuwa wako tayari kuilinda Bakwata na viongozi wake au taasisi yoyote ya dini au kisiasa. Hii ni kufuataia vuguvugu la kundi la Sheikh Ponda aliyetangaza kwenda kuvamia ofisi ya Bakwata na kuwang'oa Mufti Simba pamoja na menejimenti nzima ya Bakwata.

  Source: ITV
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Juz nilileta uzi juu ya kuing'a bakwata watu wakanambia mzush,,kanda maalum ya kinondon imewatawanya maaskari kanzu kuhakikisha hilo halitokei,wapo mtambana na kinondon muslim makao makuu ya BAKWATA,wapo wanaume nawanawake,hili zoez limeanza tangu juma 3 ya wiki hii
   
 3. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Huyo Kamanda Kova hatawaweza hawa jamaa hata kwa dawa. Mbona juzi walimfuata ofisini kwake na kwa mkubwa wake akanyweaaa? Ndiyo itakuwa kwenye ofisi za watu wanaozijua wenyewe. Hawa jamaa si wakuwatishia kwa hivyo vitaarifa vya kiitelijensia visivyokuwa na kichwa wala miguu.

  View attachment 64872
   
 4. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hili Baraza la Mafisadi Bakwata lazima litokomezwe, magamba wanalitumia sana kwa hawa Masheikhe njaa, naungana na Sheikhe Ponda kuandamana na kuhakikisha hiki kitendo kidogo cha CCM kinavunjwa. Tunataka Baraza litakalo simamamia haki za waislamu.
   
 5. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mimi ninawasiwasi na huyo Kova, mbona anaonekana kama ni mfuasi wa kameruni kwa jinsi alivyo?
   
 6. Kakende

  Kakende JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 2,734
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  BAKWATA ni nani hadi serikali iwang'ang'anie, wana bilioni ngapi? radio imani inatosha kwa kueneza chuki, eti waislam wanalazimisha NECTA wawape wanafunzi wa kiislam maksi hata kama wameandika madudu?
   
 7. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kama wakifanikiwa kuing'oa bakwata, ni taasisi ipi ya waislam itawakilisha maslahi ya waislam wote?
   
 8. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mie siingilii. CCM walifanya udini kama mtaji. Sasa hivi joka walofuga linataka kuwameza wenyewe
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  oooohh kumbe kesho ni ijumaaa
   
 10. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  wito waislam wote kesho tukasali sala ya ljumaa kinondoni-bakwata.Tukimaliza tunaenda ofisini.Jee kova atatuweza?
   
 11. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  mkuu kesho ni ijumaa, naambiwa hapa hawa jamaa kesho wanawapiga changa la macho polisi kwamba wanaenda bakwata ili polisi wengi walinde bakwata, ila lengo lao ni kwenda ubalozi wa marekani ,then baraza la mitihani NECTA.
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  ila hawa watu mi huwa siwaelewi kabisaaaaaa nikumbushe kesho nitakuambia sababu
   
 13. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,630
  Likes Received: 1,990
  Trophy Points: 280
  Ndio maana kaka yake Mzee Culture aliamua kuimba reggae!
   
 14. Hansy wa East

  Hansy wa East JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 445
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 60
  Nani kakwambia wanataka wapewe marks bila sababu? Usikurupuke jaribu kutafuta source ndo utajua ni ki2 gani kimefanywa na Necta kwenye pepa la islamic knowledge. Kama hujui basi serikali ilishaomba msamaha kwa uzembe uliofanyika sio unapanda jukwaani bila kujua kinachojadiliwa jipange next tym ubadilike.
   
 15. Alwayz on top

  Alwayz on top JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 558
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  hao bakwata ni mamluki hawatufai tuwaondoe mfano-kuuza kiwanja cha waislam chang,ombe,nyumba za wakfu na kuua mirad mingi ya waislam...wao bakwata wanacmamia waislam kama ni hvyo waisclam wenyewe wanataka ofisi zao kosa lipo wapi? watuachie ofisi zetu na hao wanaowapenda na wanaowatetea bakwata wawatafutie kazi huko kwao kwenye intelijensia..
   
 16. M

  Mkandara Verified User

  #16
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hatushangai maana Bakwata ni chombo cha serikali ambacho kimeanzishwa kama mwakilishi wa seirkali kwa Waislaam. Mamlaka ya Mufti ni sawa na ya RC wa mikoani ila yeye yupo kitaifa hasa ukizingatia Mufti huchaguliwa na rais. Je rais akiwa baniani itakuwaje?..Hii haikubaliki na kinyume cha dini na hata kikatiba - Serikali haina dini.
   
 17. F

  FJM JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mkandara, aslyam alleykum my friend. What are you going to do now?
   
 18. M

  Mkandara Verified User

  #18
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Ni muendelezo wa harakati dhidi ya chama tawala na Bakwata haitakwisha hadi kieleweke..
   
 19. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,293
  Trophy Points: 280
  hawawezi kubadilika kwa sababu si fikra zao bali ni fikra pandikizi... wanachoambiwa hata kama kiko tofauti na wanachoona wao husema walichoambiwa!! Yaani!! Mbona wale wanaopata 0 au kwenda secondary bila kujua kuandika huwa hawaandikwi majina yao na dini zao??? hilo hajawahi kuuliza nadhani
   
 20. MGANGA WA KIENYEJI

  MGANGA WA KIENYEJI JF-Expert Member

  #20
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Je inawezekana BAKWATA na SIRIKALI, ni genge flani la wahuni dhidi ya Waisalamu ama vipi? Kwa sababu waislamu wali ishtaki BAKWATA kama taasisi Mahakamani dhidi ya taasisi hiyo kuuza mali za waislamu bila kuwa shirikisha waislamu wenyewe, mfano kiwanja cha pale changombe ambacho mwanzo ali uziwa Manji. MAHAKAMA KUU IKAWAJIBU WAISLAMU,KUA MAHAKAMA HAINA UWEZO WA KUINGILIA MAMBO YA KIIMANI. WAENDE WAKAMALIZANE WAO WENYEWE. HAYO NI KWA MUJIBU WA SHEIKH KUNDECHA IJUMAA ILE KABLA YA MAANDAMANO MSIKITI WA KICHANGANI. SASA NDIO IKAKUBALIWA NA WAISLAMU KAMA MAHAKAMA HAIWEZI KUINGILIA MIGOGORO YETU, BASI TUTA MALIZA WENYEWE. SASA JESHI LA POLISI LINA WASHWA NINI?.

  KOVA , ENOUGH IS ENOUGH, BAKWATA WILL GO. ANDAENI VIJANA WENU KAMA WALE WALIOFANYA KAZI IRINGA WA KUTOSHA. ISPOKUA BE WARNED. MWEMBECHAI STYLE WILL CHANGE THE HISTORY OF TANZANIA FOREVER. MAANA HATA KIPINDI KILE IGP ALIKUA PIA ANA JINA LA KIISALAMU. ALIKUA ANAITWA OMARI MAHITA NGUNGURI KAMA SIKO SEI.
   
Loading...