Polisi jifunzeni toka nchi nyingine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi jifunzeni toka nchi nyingine

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mtemiwao, Jan 20, 2011.

 1. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimefatilia mapokezi ya rais wa china pale white house,wakati shughuli ikiendelea mtaani watu wanaandamana kupinga ziara hiyo kutokana rekodi mbovu ya china ya haki za binadamu,hata spika wa baraza la wawakilishi hakuudhulia dhifa ya kitaifa,wtz wenzangu sikuona mabumu machozi wala risasi,watu wameandamana wakapiga kelele na mabango yao mwisho wakaondoka salama wamefikisha ujumbe!POLISI WA TZ ACHENI UPUMBAFU MSIWE KAMA ASKALI WA MAKABURU,KUANDAMANA NI HAKI YA KILA M2
   
Loading...