Polisi Iringa wajiandaa kuua mkutano wa Chadema Mufindi

Status
Not open for further replies.
Sasa hivi sio mapambano kati ya CHADEMA na Polisi bali kuna mkakati maalum wa kuwafanyia vitendo vya HUJUMA na UNYAMA viongozi wa Chadema . Habali ambazo zimekwisha vuja kutoka ndani ya vyombo vya USALAMA zimeeleza hivyo. Chadema wanatakiwa wawe makini na polisi hawa maana wamekwisha agizwa kufanya lolote hata kuua
duhu. mimi nilidhani chadema na ccm damu damu lilipokuja swala la sensa? kumbe ccm wamewageuka chadema sasa? hongera polisi kwa kuwadhibiti wahuni wanaoaka kufanya vurugu Iringa
 
ipo siku inakuja hawa polisiccm watajuta kupelekeshwa kama mbwa koko... Nasema ipo siku serikali dhaifu ya ccm italipa haya yote inayowafanyia watanzania walioichoka....ipo siku watanzania watachoka na damu za wenzao kumwagwa na serikali dhaifu ya jk...ipo siku na hiyo siku hii karibu
 
kuna maelekezo maalum ya kuwashughurikia viongozi wa chadema. Ili kutimiza azima hiyo, watawekewa vikwazo na mitego ya hapa na pale ili viongozi wa chadema waghazabike na wabaya wao wapate sababu ya kuwafanyia unyama. Kuna hatari ya nchi kuingia kwenye machafuko kama hila hii itafanikiwa
 
kuna maelekezo maalum ya kuwashughurikia viongozi wa chadema. Ili kutimiza azima hiyo, watawekewa vikwazo na mitego ya hapa na pale ili viongozi wa chadema waghazabike na wabaya wao wapate sababu ya kuwafanyia unyama. Kuna hatari ya nchi kuingia kwenye machafuko kama hila hii itafanikiwa
poa tu. kama sensa yamefanyika. hata yakifanyika kwa chadema ni sawa tu. waachie askari wapige nyaramba kuwadhibiti wahuni
 
Mkakati uliopo ni kuhakisha Ccm inaendelea kutawala kwa gharama yeyote.Hatuwezi kuendelea kukubali utumwa huu wa polisi.mnawapa dhambi ya kuua hawa vijana ambao hata vyeo hawana kutokana na shule zao wao ni watu wakupokea amri tu,akiambiwa ua anaua bila kupenda,nimeongea na jamaa zangu ambao ni polisi, wanasema wao wanatumiwa tu na viongozi, hawapendi kuua lakin wafanyeje its so sady.
 
Asiye fuata maagizo ya serikali ni mpuuzi ndo mlivyokuwa mnasema wakati Watu wanakataa kuhesabiwa Leo na nyie mmekataa maagizo ya serikali.What comes around goes around andamaneni Kama hamjaacha meno chini
Haya ndio matatizo ya kukariri.
 
Mimi nawashauri CHADEMA wasiwe na jazba. Kama hao askari wanakataa mikutano ya hadhara fanyeni ya ndani na kuwafikia mtu mmojammoja. ikifika tarehe iliyoruhusiwa mnakuwa mmewaandaa watu vya kutosha. Wakati huohuo inabidi sasa mtafute haki yenu mahakamani ili polisi wasiendelee kuwasumbua. Wakuwajia tu mnawaambia suala lipo mahakamani hamruhusiwi kulizungumza. Mbona wao wantumia mbinu hiyo?
 
kumbe kupeleka taarifa za sensa za watu wa kufikirika kwa viongozi wa mtaa nayo ni issue kwa polisi,polisi polisi kila siku tumewachoka igeni mifano ya wenzenu wanavyoendesha mambo yao ,
 
Kumbukeni kamuhanda alishaua hapa Songea mwezi Februari 22, 2012 kwenye maandamano ya waendesha pikipiki.Hiyo digrii aliipata wapi?Alikariri past papers na kutapika kwenye mtihani wake.
 
La muhimu maandamano yapitie katika makazi ya polisi, moshi wa mabomu ya maachozi uishie kwenye makazi!.. vurugu zikitokea hata familia zao zihusike!.
 
Natamani sana civil war itokee hope adabu itapatikana. Rwanda isinge kuwa civil war hope hapa ilipo isingepafikia. Hakuna maana ya kuwa na amani ya kishenzi na kinafiki kama TZ ni bora tuingie msituni kudai haki yetu.
Chadema songa mbele coz wananchi wako nyuma yenu.
 
Kama utaamua kuniua mimi, utakuwa umeamua/ umefanikiwa kumuua mtu tu, lakini hutakuwa umefanikiwa kuua fikra zangu - Haya ndo maneno ya mwisho aliyosema au kutamka Che Guevara wakati anauliwa nchini Bolivia
 
Status
Not open for further replies.
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom