Elections 2010 Polisi igunga, mnamaanisha nini?

Ninaweza

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
12,023
6,774
Leo hii polisi imegawa vipeperushi vyenye picha za ffu wakiwa wamekamata watu, na ujumbe unaosomeka "epuka aibu na fedheha, tii bila shuruti", "polisi tupo imara tutamshuguriki kikamilifu yeyote atakayeleta vurugu siku ya uchaguzi".Vipeperushi hivi wamepewa watu mbalimbali wakiwemo wanafunzi wa shule za msingi wakiambiwa kuvifikishe kwa wazazi wao! Wasiwasi wangu ni kwanini hilo lifanyike kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi?
 
Hongera jeshi la polisi kwa kufanya kazi zenu kisasa na kwa makini.
Hii ya kumwaga vipeperushi nimeona hata Marekani huwa wanatumia huo utaratibu kwa kuhofia vurugu.
Navyowajua FFU ukileta fujo utasikitika na nafsi yako utakavyochezea kipigo
 
Polisi wanajihadhali na vurugu zinazoweza kutokea siku ya uchaguzi maana vurugu inaweza isiwe kwenye kupiga kura lakini hata kwenye kutangaza matokeo pia. Kama hakutakuwa na upendeleo polisi hawataamini kinachoendelea maana amani itatawala.
 
Mimi nafikiri ni sawa tu maana CCM walitaka kutumia vitendo vya vurugu kutisha wananchi hongera polisi kwa hilo.
 
Ni mwiko kwa mtoto wa kiume kumsifia mwanaume mwenzako!
Kwa hiyo wewe kila atakacho sema Mwanakijiji unakikubali
Msimamo wako kisiasa unakufanya ushindwe kuwa na fikra huru. You are acting sarcastically to anything oposing your viwes which makes the face in your avatar resemble ugly view of your ideas. Mkuu Unatisha
 
mod, huyu ritz kavamia mtaa, mrudisheni kugereza. anachafua jukwaa, amejivua akili tafadhali mtieni kirungu cha ban aone utamu wa kuwasifia hao ffu wake!
 
Hongera jeshi la polisi kwa kufanya kazi zenu kisasa na kwa makini.
Hii ya kumwaga vipeperushi nimeona hata Marekani huwa wanatumia huo utaratibu kwa kuhofia vurugu.
Navyowajua FFU ukileta fujo utasikitika na nafsi yako utakavyochezea kipigo

huko ndiko serikali imeinvest heavily, kuwapiga wenye nchi kwenye nchi yao. na huyu zombie, muone sura kama wasira!
 
Vurugu za kikundi haramu cha 'CCM Greenguard Mungiki' zinazofadhiliwa na baadhi ya maafisa wa serikali yetu to terrorise electorates and opponents in the country is a matter of REAL CONCERN to a number of players in the international community to-date.

Tha way, every other single 'unfriendly' pre-meditated violence in Igunga and elsewhere could very well under closer scrutiny and perpatrators may some day be asked to account for their roles therein.

Namo pia, vitisho vyovyote vya vyombo vya dola kamwe havikubaliki katika mazingira ya uchaguzi, kabla ya, wakati wa na hata baada ya tukio zima!!! Otherwise, a lot MUST be done now and NOT any later to restore normaly and orderliness for all participating parties!
 
Sijawahi kuwa na imani na matamko ya jeshi la polisi hasa yanayotolewa na huyo jamaa anaitwa paul chagonja. Ni aina ya maafisa wa polisi wanaotakiwa kujivua gamba.
 
Hongera jeshi la polisi kwa kufanya kazi zenu kisasa na kwa makini.
Hii ya kumwaga vipeperushi nimeona hata Marekani huwa wanatumia huo utaratibu kwa kuhofia vurugu.
Navyowajua FFU ukileta fujo utasikitika na nafsi yako utakavyochezea kipigo
wanaume wanalipa hela zao JF ili ijiendeshe, wewe unaingia kama mwanamwali na kutema udenda.
 
Ni mwiko kwa mtoto wa kiume kumsifia mwanaume mwenzako!
Kwa hiyo wewe kila atakacho sema Mwanakijiji unakikubali

rejea post zako zilizopita, kwa maneno haya una maana kwamba jk ni demu sio. acha hizo wewe.
 
mod, huyu ritz kavamia mtaa, mrudisheni kugereza. anachafua jukwaa, amejivua akili tafadhali mtieni kirungu cha ban aone utamu wa kuwasifia hao ffu wake!
niachie mimi huyu kichenchede, masaburi yanamuwasha.
 
mod, huyu ritz kavamia mtaa, mrudisheni kugereza. anachafua jukwaa, amejivua akili tafadhali mtieni kirungu cha ban aone utamu wa kuwasifia hao ffu wake!

Mkuu, JF sio ya CDM kosa langu mimi kusema FFU wanafanya kazi kisasa ndio nipigwe Ban? Kwanza mimi sio CCM mimi ni Independent Thinker
 
Msimamo wako kisiasa unakufanya ushindwe kuwa na fikra huru. You are acting sarcastically to anything oposing your viwes which makes the face in your avatar resemble ugly view of your ideas. Mkuu Unatisha
achaneni na ny.ge mbuzi wakuu.
ukipakwa KY unakuwa na hamu ya dushelele aka OTIS kila wakati.
 
Haya mambo sio mapya tena sasa hivi hawa polisi wameonyesha unyang'au wao hata kabla ya uchaguzi, baadae watakapopiga raia wasio na hatia waje waseme walitoa tahadhari au vinginevyo magamba watakuwa wamevitengeneza kuwatisha raia wa igunga. sasa kama ni polisi wanashidwa kupambana na manyemela/majambazi wanapambana na raia ambao hawana silaha yoyote, hiyo ni akili au matope? Kila jambo na wakati wake, haya mambo wanayofanya magamba mwisho wake uko karibu sana tena waja wakati wowote.
 
Back
Top Bottom