Leo hii polisi imegawa vipeperushi vyenye picha za ffu wakiwa wamekamata watu, na ujumbe unaosomeka "epuka aibu na fedheha, tii bila shuruti", "polisi tupo imara tutamshuguriki kikamilifu yeyote atakayeleta vurugu siku ya uchaguzi".Vipeperushi hivi wamepewa watu mbalimbali wakiwemo wanafunzi wa shule za msingi wakiambiwa kuvifikishe kwa wazazi wao! Wasiwasi wangu ni kwanini hilo lifanyike kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi?