Maskini Mimi
Member
- Jun 25, 2008
- 43
- 2
Inaskikitisha kwamba Polisi hawana risiti za kupokea malipo kwa ajili ya silaha.
Hali hii ipo kwa muda wa zaidi ya wiki tatu pale oysterbay polisi, kila uendapo unaelezwa kwamba risiti bado hazijafika.
Hivi kweli hawa wenzetu wako serious.
Ni bora wapokee pesa kwa kutumia mabenki kwani itawarahisishia kupokea hizo pesa, vile vile itasaidia kuondoa msururu wa walipaji hapo polisi.
Hopefully tutafika