Polisi Dodoma: Daktari toka hospitali ya Milembe athibitisha kuwa nabii Tito ana tatizo la akili

Huyu mtu ni nani anajua asili yake...................kazaliwa wapi............kasoma wapi...........ni wa mkoa na kabila gani.........................................................what went wrong?????what went what...........???? manake tusije ku koment mtu aliyechipuka tuu na kuongea tusiyoyajua tunahitaji msaada zaidi wa kumjuakabla ya kumjadili
 
Mbona Dar kuna madhehebu ya waumini wanasali waking uchi wa mnyama na hawapimwi akili ?
 
Nimesoma kwenye gazeti la mwananchi polisi wanasema nabii Tito ana tatizo la kiakili. Je linaitwaje kitaalaamu? Je na wale wanawake aliokuwa akihubiri nao kwa maraha yote wanatatizo kama lake? kwa nini wale nao hawakukamatwa na kupimwa?
Nukuu:
Polisi Dodoma wasema Nabii anayekunywa pombe ana tatizo la akili

pic+nabii.jpg




Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto amesema daktari wa Hospitali ya Milembe mkoani humo amethibitisha kuwa Tito Machibya maarufu kwa jina la Nabii Tito ana tatizo la akili.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Januari 23, mwaka 2018 baada ya kumkamata nabii huyo, Muroto amesema baada ya kumkamata leo wataendelea kumshikilia kwa ajili ya usalama wake kwa kuwa anajenga chuki dhidi ya dini za watu wengine wenye imani tofauti.

Amesema Nabii Tito alikamatwa na Polisi Januari 16, baada ya kuhojiwa alionekana kuwa na tatizo la akili na kuamua kumpeleka katika hospitali hiyo ya wagonjwa wa akili.

Amebainisha kuwa alipofanyiwa uchunguzi na daktari aliyemtaja kwa jina moja la Philipo alibaini kuwa nabii huyo ana tatizo hilo.

Nabii huyo amekuwa akionekana mitaani akihubiri huku akiwa anakunywa pombe.
 
Mbona nabii tito ana reson vitu mtu asie na akili hawezi kichambua mambo hivi
 
Hapa pana mengi yamejificha waamini wake hawaonyeshwii au anakua anawahubiria kina nani na hata ukimsikiliza hana details zozote za maandiko yan ni chiz haswaa
 
Hapa pana mengi yamejificha waamini wake hawaonyeshwii au anakua anawahubiria kina nani na hata ukimsikiliza hana details zozote za maandiko yan ni chiz haswaa
Waumini wanaonyeshwa hujawaona anao watatu wanaoonekana sehemu kibao
 
Wasitulishe pumba maswali madogo tu tunaitaji majibu Kama ni chizi
Je pesa ya mvinyo anapata wapi?
Je yale madhari ya clip tunazoziona huandaa nani?
Je nani husambaza clip tunazoziona?
Wasitupe majibu mepesi Kwa maswali magumu au kisa machibya msukuma ebu waache usanii
Umeonaee Wanawake anaoshirikiana nao na wao wanamatatizo ya Akili? Na wako wapi?
 
Kwa sababu afande kasema? huyu jamaa hata ukimsikiliza unaona kabisa ana kaili timamu, sema ameona hiyo ndio namna yake ya kupata umaarufu na kuweza kutoka... hiyo ya kusema hana akili na kumshikiria ni kiki tu..
Mkuu nakubaliana na wewe100
 
Tofautisha misukule na vichaa huyo aweza kuwa msukule wa wafanyabiashara washirikina
Kwa ishu za kiimani wapo wengi tu mitaa ni Tito anachofanya ni kuongezea mbwembwe labda ndo aina yake ya kuhubiri.ayafanyao ufanywa na wengi sirini.mfano kuwatafuta.
 
Back
Top Bottom