Polisi Dodoma: Daktari toka hospitali ya Milembe athibitisha kuwa nabii Tito ana tatizo la akili

janja nyani wamejua mahakamani watashindwa wameamua kumpa uchizi ili kumaliza mgogoro.

eti anajenga chuki kwa dini nyingine, si kweli zenyewe ndo zimejenga chuki kwake kuona yale yanayofanywa kwa siri yanawekwa hadharani.

ko kunywa bia ni maadili ya hovyo (viwanda vifungwe sasa), kumtafuna msaidizi wa kazi kuna ubaya gani ikiwa una muhudumia na ameridhia.

Mwachieni aje kutupa neno wakuu.
Wee nawe chizi mwenzie
 
Tulimaliza mwaka na Dkt. Shika tumeanza mwingine na Nabii Tito, mpaka mwaka uishe vichaa wataongezeka tu
 
Tofautisha misukule na vichaa huyo aweza kuwa msukule wa wafanyabiashara washirikina
Kama ndiyo hivyo basi na nabii Tito naye ni msukule wa manabii fake maana anadhurura kwenye.mabaa miradi yake yote imetoweka mamsapu wake wa kichaga hajulikani alipo

Sasa amepata maano baada ya kuchezewa na binti wa kichaga, wasukumaaa wamejenga Moshi lkn hawakaagi huko
 
Sipati picha huyo Nabii Tito angekuwa na wafuasi kama Lusekelo au Gwajima, sijui ingekuaje!!!!
 
Back
Top Bottom