Polisi Dar yampa saa 24 Nabii Mwingira ili ajisalimishe kwa Mahojiano

Usikute alishwai report aya yote wakayapotezea
Kama alisha-report ni vema..aende akafafanue hayo huko polisi...siyo mtu anaropokaropoka Mambo ya hatari na kuachwa hivi hivi...awataje hao watu wa serikali waliotaka kumuua...awataje waliomuua mwanamke aliyemtaja huko Rombo hoteli...ataje hizo Mali za Bilioni kumi alizipataje...ataje Kama ni Mali zake au za kanisa...afafanue kuhusu tuhuma dhidi yake za kufarakisha ndoa za watu...
 
MBona kama una hasira nae🤣
 
Alishakuambia mali zake. Sasa wewe unasema eti mali zake au za Kanisa. Kwani Kanisa limekuambia limeibiwa?
Mkikosea mnataka kutumia nguvu sio? Mtashangaa.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tunarejea kwa kasi sana. Kwani hivi utaratibu ukoje, mtuhumiwa na hasa mwenye address permanent kama askofu kuna sababu ya kumuita kwa media?
Kwenye criminal offence hakuna mheshimiwa braza.

Jela tulizonazo ni za aina moja na kule ndani ukihurumiwa na kupewa unafuu basi unalazwa hospitali ya ndani ya gereza.
 
Tunarejea kwa kasi sana. Kwani hivi utaratibu ukoje, mtuhumiwa na hasa mwenye address permanent kama askofu kuna sababu ya kumuita kwa media?
Ni ujinga na ulimbukeni tu hawa watu. Wanaamini wakifokafoka na kutisha watu, ndiyo wataonekana wanafanya.
 
Kama alisha-report ni vema..aende akafafanue hayo huko polisi...siyo mtu anaropokaropoka Mambo ya hatari na kuachwa hivi hivi...awataje hao watu wa serikali waliotaka kumuua...awataje waliomuua mwanamke aliyemtaja huko Rombo hoteli...ataje hizo Mali za Bilioni kumi alizipataje...ataje Kama ni Mali zake au za kanisa...afafanue kuhusu tuhuma dhidi yake za kufarakisha ndoa za watu...
Zwazwa
 
Hivi ni yale maneno aliyosema tu au kuna mengine? Badala ya kujitafakari kwa maneno ya ukweli aliyosema tunaanza kuzalisha uongo?
Msije kutuambia ana 'kesi ya ugaidi' alitaka kuhamisha lake Victoria kulipeleka Zambia! kwani hamkawii:)
 
sogeza huyo mtuhumiwa hapa !!,na akuje na vielelezo na ushahidi wa kina wantuhuma zake!!

katka maaskof wote tz,gwajima ndo genius tu,jamaa huwa ana dili na person attach,na sio dola,lijamaa linaakili kubwa Sana!
 
Back
Top Bottom