Polisi Dar wazuia Mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Kibamba, John Mnyika

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezua Mkutano wa Hadhara wa Mbunge wa Kibamba John Mnyika na Wananchi wake, Uliokuwa ufanyike leo Feb 8, 2020 kata ya Mbezi njee kidogo na Jiji la Dar es salaam.

Polisi wamedai kuwa eneo la stendi ya zamani ulipotakiwa kufanyika mkutano huo kuna ujenzi wa barabara unaendelea.

Jana Polisi Wamezuia mkutano wa hadhara wa Mbunge wa #Kibamba na wananchi uliokuwa ufanyike leo 08/02/2020 kata ya #Mbezi, kwa kisingizio cha uongo kuwa eneo la stendi ya zamani tulipotaka kufanyia mkutano kuna ujenzi wa barabara unaendelea.
 
Dawa ni kuzomea kijani popote kisivalike. Makaburu weusi wabaya sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshalisema hili Mara nyingi hawanielewi. 2015 walishika adabu hadi mashati walikuwa wanavalia ukumbini kwa sababu walionyesha nguvu ya kutumia polisi na ilikuwa inalipwa kwa wanachama wao wasio na ulinzi wa polisi mpaka wakaona wanawaponza.

Acha kuzomewa tuu, ikibidi wachapwe makofi kidogo yasiyo umiza Bali kudhalilisha wapeleke salami za wananchi kuchoka na ubaguzi
 
FB_IMG_1570952637609.jpg
 
Back
Top Bottom