Umemsahau kamanda KOMBE aliyegombea Uenyekiti wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro na kupigwa chini.
Wapo wangapi wa aina yake ambao wamepita katika chaguzi zetu. Huyo amebainika kwa kuwa mjinga na kuanza kutumia na majina ambayo siyo yake. Huko NEC kuna nini ambacho huku nje hatukijui hadi mtu aamuwe kuacha kazi yake ili aweze kuwa mjube wa NEC?
James Kombe je? Jiulize kadi ya CCM aliipata lini?
Hata Alfred Tibaigana na Omar Mahita walikuwa na kadi za ccm kabla ya kustaafu.