POLISI AtEMBEA NA MWANAE ;ADAI KAHAIDIWA NA MGANGA KUWA IGP AKITIMIZA HILI-MOROGORO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

POLISI AtEMBEA NA MWANAE ;ADAI KAHAIDIWA NA MGANGA KUWA IGP AKITIMIZA HILI-MOROGORO

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, May 2, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,097
  Likes Received: 5,562
  Trophy Points: 280
  Wapenzi polen na majukmu mazito mliokuwa nayo na mnayo endela nayo
  mungu azidi kuwasaidia mnachoitaji...hivi majuzi kumetokea swala la aibu
  morogoro pale askari mmoja alipoenda kwa mganga na kumuhaidi akitembea na mwanae
  atapandishwa cheo gafla kabla ya kupewa u IGP..habari hii ni ya kusikitisha
  kwa kweli binti huyo wa miaka 16 akuwa na la kufanya zaidi y kushinda na mzee siku mzima akisanua mzigo huku amefunga chumba ..ndipo mamake na kakayao walipofika na kushangaa milango ya nje iko wzi...mama alipopiga hodi akufunguliwa zaidi ya kusikia makelele ya ama maumivu ama raaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaa
  hayo anajua mwana wetu...ndipo mama akafunguliwa mlango gafla mtoto amelala analia ..na mzee anasafisha uu###$%e wake..mambo ya ajabu......kaka mtu akaenda polisi wakaja kumkamata mzee na sasa anasubiriwa kutunukiwa shahada yauzoefu ya kukaa jela miaka 30...nafikiri hiki cheo ndicho kinafwata baada ya kifungo chA maisha......
  watanzania hawa waganga si walipigwa marufuku na pinda na kunyangwanywa lesen wameokea wapi huku???
  Mungu mponye mwan wetu asiwe kaamubikizwa kindu kila
   
Loading...