Polisi ashiriki ujambazi;alazimishwa kuzikwa fasta;

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Wanandugu tukiwamitaa ya himo tumeanza kuona matendo machafu ya jeshi lletu
mh mwema tunaomba fwatilia hili,kuna ujambazi umefanyika mwezi mmoja uliopita,mmoja wa waliouwawa alikuwa polisi walipofika olisi na kumkuta mwenzao wakamchukua na kumpeleka kwa ndugu zao huku wengine wakipelekwa mawenzi,baada ya hapo jeshi lapoilisi lilienda na kutoa mchango wao na kuomba wamzike mapema wawezavyo,
sasa haya mambo tutafika mh mwema;??
 
Niliwaambia, hao ndio polisi wetu wanaopambana na ujambazi.

Leka
 
Wanandugu tukiwamitaa ya himo tumeanza kuona matendo machafu ya jeshi lletu
mh mwema tunaomba fwatilia hili,kuna ujambazi umefanyika mwezi mmoja uliopita,mmoja wa waliouwawa alikuwa polisi walipofika olisi na kumkuta mwenzao wakamchukua na kumpeleka kwa ndugu zao huku wengine wakipelekwa mawenzi,baada ya hapo jeshi lapoilisi lilienda na kutoa mchango wao na kuomba wamzike mapema wawezavyo,
sasa haya mambo tutafika mh mwema;??

Well noted madam!
Lakini wewe SB unakimbilia wapi hadi unasahau "Punctuation" marks katika thread yako. Yaani sentensi zote hizo hazina nukta hata moja? Please correct!
 
Back
Top Bottom