Polisi Arusha yawanasa Majambazi Sugu watatu wakiwa na mganga wa kienyeji mwenye ndumba kibao

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
749
1,797
JESHI la polisi Mkoani Arusha limefanikiwa kuzima jaribio la uhalifu jijini hapa na kuwatia mbaroni majambazi sugu watatu pamoja na mganga wa kienyeji huku wakiwa na silaha mbili za moto ,mikasi mitatu ya kukatia vyuma pamoja na madawa
mbalimbali ya kienyeji.

Kamanda wa jeshi la polisi mkoani hapa,Jonathan Shana,amesema kuwa majambazi hao wamekamatwa juzi majira ya saa nne usiku maeneo ya daraja la Nduruma,Kata ya Baraa jijini hapa wakitokea jijini Dar es salaam wakija mkoani hapa kufanya uhalifu.

Amesema kuwa kukamatwa kwa majambazi hao kunafuatia taarifa waliyopewa na msiri wao na kwamba walikuwa wakitumia gari namba T 777 DSJ Toyota Crown na kwamba kukamatwa kwao ni kufuatia majibizano ya risasi kati yao na polisi.

,,Majambazi hao wanafahamika kwa majina ya Steven Godfey(32) Mfanyabiashana na mkazi wa jijini Dar-es Salaam,Yunus Hamad(37)Mkazi wa Korogwe na said hamisi(38) Mkazi wa kariakoo na Bw.Msafiri yohana ambaye ni mganga wa kienyeji na mkazi wa magu mkoani Mwanza.

Kamanda shana alizitaja silaha zilizokamatwa kuwa ni Shotgun moja ikiwa na risasi nne,bastola aina ya Chinese na risasi zake nne,mikasi mitatu ya kukatia vyuma,nondo mbili,gundi pamoja na madawa mbalimbali ya kienyeji.

Aliongeza kuwa katika mahojiano nao watu hao walikiri kujihusisha na vitendo vya kialifu katika maeneo mbalimbali hapa nchini na walikuja mkoani hapa kwa ajili ya kufanya uhalifu katika maeneo mbalimbali na kwamba watafikishwa mahakamani upelelezi utakapokamilika.

‘’Majambazi hawa waliaminishwa na mganga huyo wa kienyeji kuwa kwa kutumia dawa hizo hawataweza kukamatwa na kwamba hata wakipigwa risasi hazitawadhuru na ndio maana walikuwa wakiongozana na mganga huyo kila mahali walipokuwa wanaenda.

Aliwatahadharisha watu wote wenye nia ya kufanya uhalifu kuacha mara moja kwani jeshi la polisi limejipanga kikamilifu na kutoa wito kwa wananchi kuendelea kushirikiana na jeshi hilo kwa kutoa taarifa za wahalifu.

Mwisho.

IMG_20190612_114711.jpeg
 
mkuu weka na picha za hizo dawa,alafu huyo mzee mbona hachukui tahadhari za ka ugonjwa kadogo
 
Watu wa mwanza kwa uganga...ndio maana bwana mkubwa ana kiburi.
 
Utafikiri picha ya mwaka Jana
Yaani tahadhari hakuna kabisa na siku ikifika watasema aliugua muda mfupi tu

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
JESHI la polisi Mkoani Arusha limefanikiwa kuzima jaribio la uhalifu jijini hapa na kuwatia mbaroni majambazi sugu watatu pamoja na mganga wa kienyeji huku wakiwa na silaha mbili za moto ,mikasi mitatu ya kukatia vyuma pamoja na madawa
mbalimbali ya kienyeji.

Kamanda wa jeshi la polisi mkoani hapa,Jonathan Shana,amesema kuwa majambazi hao wamekamatwa juzi majira ya saa nne usiku maeneo ya daraja la Nduruma,Kata ya Baraa jijini hapa wakitokea jijini Dar es salaam wakija mkoani hapa kufanya uhalifu.

Amesema kuwa kukamatwa kwa majambazi hao kunafuatia taarifa waliyopewa na msiri wao na kwamba walikuwa wakitumia gari namba T 777 DSJ Toyota Crown na kwamba kukamatwa kwao ni kufuatia majibizano ya risasi kati yao na polisi.

,,Majambazi hao wanafahamika kwa majina ya Steven Godfey(32) Mfanyabiashana na mkazi wa jijini Dar-es Salaam,Yunus Hamad(37)Mkazi wa Korogwe na said hamisi(38) Mkazi wa kariakoo na Bw.Msafiri yohana ambaye ni mganga wa kienyeji na mkazi wa magu mkoani Mwanza.

Kamanda shana alizitaja silaha zilizokamatwa kuwa ni Shotgun moja ikiwa na risasi nne,bastola aina ya Chinese na risasi zake nne,mikasi mitatu ya kukatia vyuma,nondo mbili,gundi pamoja na madawa mbalimbali ya kienyeji.

Aliongeza kuwa katika mahojiano nao watu hao walikiri kujihusisha na vitendo vya kialifu katika maeneo mbalimbali hapa nchini na walikuja mkoani hapa kwa ajili ya kufanya uhalifu katika maeneo mbalimbali na kwamba watafikishwa mahakamani upelelezi utakapokamilika.

‘’Majambazi hawa waliaminishwa na mganga huyo wa kienyeji kuwa kwa kutumia dawa hizo hawataweza kukamatwa na kwamba hata wakipigwa risasi hazitawadhuru na ndio maana walikuwa wakiongozana na mganga huyo kila mahali walipokuwa wanaenda.

Aliwatahadharisha watu wote wenye nia ya kufanya uhalifu kuacha mara moja kwani jeshi la polisi limejipanga kikamilifu na kutoa wito kwa wananchi kuendelea kushirikiana na jeshi hilo kwa kutoa taarifa za wahalifu.

Mwisho.

Hao ni wafuasi wa ccm,wamerithi tabia kwenye chama chao uwizi ndio jadi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom