Polisi Arusha waingia lawamani, wadaiwa kumshikilia mfanyabiashara wa madini siku saba bila kumfikisha mahakamani

Serikali hii imejaa uonevu tu na huyu mkuu ana hasira sana na matajiri, embu wamuachie shemeji yetu bwana.
 
Unajua kwenye gemstone utake uwaweke wanunuzi sehemu moja ni ngumu sana
Kwanza gemstone haina controlled price
Na kila mnunuz Ana nunua kwa siri yake
Dhahabu ndy Ina bei inayotambulika kote
Ila dah Kaz Kweli Kweli

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Bei wanapanga dealerz bei itapanda mwezi huu kurudi kama awali ndio tunaombea,frisby wanadai alikua anasafirisha mawe kwa kificho.RMO aliiba dola wakt wanamsachi camera zimemuona

Serikali imejaa majizi na wala ruhwa, halafu akili ndogo. Kwa akili yake mfanyabiashara kama friby angekosa kamera kweli?1 Acha yaumbuke tu.
 
Back
Top Bottom