Polisi arusha kituo cha unga limited..

olesiteti Jr

Member
Jul 6, 2016
96
59
Kwanza kabisa na penda kuwa pongeza polisi kwa kazi nzuri ya kulinda usalama wetu hivi nataka kuuliza barua ya wito katika kituo cha polisi unga limited inauzwa.

Maana nashaanga askar ana niambia hizo barua tuki wasaidiah amtufanyii lolote kazi ni usumbufu yaan nimeenda kueleza shida yangu nime tapeliwa na fundi laki nne ana nifananisha na wateja wake wengine.

Kitendo cha kukosa huduma kime ni udhi sana polisi jaman kama mmeshindwa kuweka watu wenye weledi mapokezi mtaendelea kupoteza sifa na kuchagia uhalifu unao epukika.

Mara nyingi nikienda kumdai tuna pishana kauli mnataka nipata je hela yangu wa shughulikien watu wanao poteza sifa ya jeshi letu nipo tayar kutoa ushirikiano kwa kitendo hiki nimepoteza muda wangu bure.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom