Polisi anapopagawishwa mpaka kusahau kazi

amelikosea heshima vazi ra jeshi

Askari naye ni binadamu kama wengine anahitaji kuliwazwa kama hivi, amejikuta akipoteza uelekeo wa kazi yake baada ya burudani kuzidi, ingewezekanaje asiwe na magwanda wakati alienda pale kulinda raia na mali zao? Kama angerudi home kubadilisha magwanda, hiyo opportunity inawezekana asingeipata tena!
 
sasa hapo uyo dada anataka kutobolewa hapo hapo hadharani au!! HAPA NDO DUNIA YETU ILIPOFIKIA SASA, WALA WATU HAWAONI AJAB JAMBO ILI
 
Anaonekana hana mpango kabisa, yupo bize kuangalia usalama!

Weeeee; unaona anavyo chekeleeea??? Mpango anao saaaana!!!! Anajifanya kuangalia mbele lakini akili yote iko hapo down...Haya mambo hayana mwenyewe jamani!!!
 
Back
Top Bottom