Polisi ameingia kwenye kumi na nane za Wakenya wanaojua haki zao

From '48 Laws of power'
#26. Always say less than necessary.
"Shukisha yeye" will be her undoing
Nafikiri unamaanisha namba #4
Sema nahisi hakua amesoma namba #47 maana nimesoma tukio lote na vifungu vya sheria na kugundua kumbe kweli alivunja sheria, polisi ana uwezo na ruhusa ya kuingia kwenye gari lako na kuelekeza kwenda kituoni.
 
Safi sana wamemkomesha huyo pimbi!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna watu wanajisahau na kufanya kazi kwa mazoea ya hovyo hovyo, hapa kwetu ni kitu cha kawaida sana unakuta traffic anakusimamisha kwa amri na ukisimama anakuambia naomba lift au wengine bila hofu anafungua mlango wa passenger anaingia na kukueleza kuwa anafika hapo mbele kidogo as if mlichanga kununua gari yako.
 
Hadi nimecheka eti "as if mlichangia kununua mafuta", sema ukipata ujasiri umkatalie na wewe ujiandae kwa mtiti, utabambikiwa kesi ya kuwa na bangi humo kwenye gari.
Umuhimu wa kuwasha camera pale unahisi kutakua na mtiti.
 
Kuna watu wanajisahau na kufanya kazi kwa mazoea ya hovyo hovyo, hapa kwetu ni kitu cha kawaida sana unakuta traffic anakusimamisha kwa amri na ukisimama anakuambia naomba lift au wengine bila hofu anafungua mlango wa passenger anaingia na kukueleza kuwa anafika hapo mbele kidogo as if mlichanga kununua gari yako.
Huyo dada saivi yupo behind bars kwa taarifa yako, mambo yameshamkorogekea
 
LOL mbona hapa hawasemi kitu?

Ingekuwa imetokea Tanzania wangesema nchi ya kidikteta ila imetokea kwao, mkia matakoni
Ingekuwa Tanzania wangeshafungua nyuzi za kutosha but now wapo kimya kama hawaoni yaani.
 
Huyo dada saivi yupo behind bars kwa taarifa yako, mambo yameshamkorogekea

Hayuko behind bar, aliachiwa kwa dhamana sio kama nyie mnamtesa Kabendera mpaka sasa kisa alikosoa.
Huyu dada ilibainika amevunja sheria, japo niko upande wake kwa hilo lakini ukweli ni kwamba amevunja sheria, kuna kipenge cha sheria kinamruhusu polisi kuingia ndani ya gari lako na kuamrisha ulipeleke kituoni, binafsi sikua najua hilo hadi nimelisoma jana.
Hivyo kwamba alivunja sheria za kuchochea wananchi wamzuie afisa wa polisi kutekeleza wajibu wake, hapo ilibidi akamatwe ila akaachiwa kwa dhamana, tofauti na kwenu huko Kabendera ameteseka kisa kakosoa.
Kuna huyu dogo wa chuo kapiga picha inayo onyesha mateso mnayopitia kwa ukosefu wa maji, hilo limesababisha atekwe na wasiojulikana.
 
Nafikiri unamaanisha namba #4
Sema nahisi hakua amesoma namba #47 maana nimesoma tukio lote na vifungu vya sheria na kugundua kumbe kweli alivunja sheria, polisi ana uwezo na ruhusa ya kuingia kwenye gari lako na kuelekeza kwenda kituoni.
It was deliberate,
Kwahiyo huyo mama alikua ana-apply sheria za marekani Kenya! Yatamtoka puani
 
Wala hayawezi kumtokea puani maana kwamba huyu dada ni mwanaharakati, na mojawapo wa kitu muhimu kwa mwanaharakati ni kujenga umaarufu wa kukamatwa kamatwa na mapolisi, binafsi nimewahi kuwa mwanaharakati kwenye huu mji, nayajua sana haya mambo.
Kwamba magazeti, mitandao ya kijamii wote wanaandika kuhusu mapambano yake dhidi ya udhalimu wa polisi, hilo tayari ni kiki la mwaka kwa mwanaharakati, ufadhili utamkuta hadi kitandani. Pia uzuri wa hapa kwetu haukai jela zaidi ya masaa 48 kw mambo madogo kama haya, hivyo kama mwanaharakati unaibua mtiti kisha unakamatwa na kutiwa lockup siku mbili, unapata kiki halafu unarudi kwenye godoro lako.
 
Wewe mwenyewe umesema kavunja sheria. Sasa Unless sheria na kanuni zake ni jarida tu fulani, otherwise kuvunja sheria kuna athari zake na ndo hicho nnachosemea kitamtoka puani, iwe ni mda wake kwa maana ya jela, hela au zote kwa pamoja.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom