Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama ipo siku atafanya ujinga kama huu tena
Nafikiri unamaanisha namba #4From '48 Laws of power'
#26. Always say less than necessary.
"Shukisha yeye" will be her undoing
Kuna watu wanajisahau na kufanya kazi kwa mazoea ya hovyo hovyo, hapa kwetu ni kitu cha kawaida sana unakuta traffic anakusimamisha kwa amri na ukisimama anakuambia naomba lift au wengine bila hofu anafungua mlango wa passenger anaingia na kukueleza kuwa anafika hapo mbele kidogo as if mlichanga kununua gari yako.
Huyo dada saivi yupo behind bars kwa taarifa yako, mambo yameshamkorogekeaKuna watu wanajisahau na kufanya kazi kwa mazoea ya hovyo hovyo, hapa kwetu ni kitu cha kawaida sana unakuta traffic anakusimamisha kwa amri na ukisimama anakuambia naomba lift au wengine bila hofu anafungua mlango wa passenger anaingia na kukueleza kuwa anafika hapo mbele kidogo as if mlichanga kununua gari yako.
Ingekuwa Tanzania wangeshafungua nyuzi za kutosha but now wapo kimya kama hawaoni yaani.LOL mbona hapa hawasemi kitu?
Ingekuwa imetokea Tanzania wangesema nchi ya kidikteta ila imetokea kwao, mkia matakoni
Huyo dada saivi yupo behind bars kwa taarifa yako, mambo yameshamkorogekea
It was deliberate,Nafikiri unamaanisha namba #4
Sema nahisi hakua amesoma namba #47 maana nimesoma tukio lote na vifungu vya sheria na kugundua kumbe kweli alivunja sheria, polisi ana uwezo na ruhusa ya kuingia kwenye gari lako na kuelekeza kwenda kituoni.
It was deliberate,
Kwahiyo huyo mama alikua ana-apply sheria za marekani Kenya! Yatamtoka puani
Wewe mwenyewe umesema kavunja sheria. Sasa Unless sheria na kanuni zake ni jarida tu fulani, otherwise kuvunja sheria kuna athari zake na ndo hicho nnachosemea kitamtoka puani, iwe ni mda wake kwa maana ya jela, hela au zote kwa pamoja.Wala hayawezi kumtokea puani maana kwamba huyu dada ni mwanaharakati, na mojawapo wa kitu muhimu kwa mwanaharakati ni kujenga umaarufu wa kukamatwa kamatwa na mapolisi, binafsi nimewahi kuwa mwanaharakati kwenye huu mji, nayajua sana haya mambo.
Kwamba magazeti, mitandao ya kijamii wote wanaandika kuhusu mapambano yake dhidi ya udhalimu wa polisi, hilo tayari ni kiki la mwaka kwa mwanaharakati, ufadhili utamkuta hadi kitandani. Pia uzuri wa hapa kwetu haukai jela zaidi ya masaa 48 kw mambo madogo kama haya, hivyo kama mwanaharakati unaibua mtiti kisha unakamatwa na kutiwa lockup siku mbili, unapata kiki halafu unarudi kwenye godoro lako.