Polisi aliyenyang'anywa magazine na jambazi mwenye kisuu

Kireka1980

JF-Expert Member
Mar 18, 2008
302
43
Jumatatu maeneo ya Siha huko Moshi kuna polisi alijeruhiwa vibaya na jambazi. polisi alikuwa na bunduki SMG yenye risasi 29 na jambazi alikuwa na kisu. Cha kushangaza jambazi alimchoma kisu polisi na kutaka kumnyang'anya silawa.
nanukuu maelezo ya kamanda wa polisi mkoa kama nilivyosoma magazeti ya jana: 'Kamanda huyo wa polisi alisema, hata baada ya jambazi hilo kumjeruhi vibaya Sajenti Gaston bado aliweza kuhimili mikiki mikiki ya kuihifadhi silaha yake hiyo aina ya SMG, jambo lililosababisha jambazi hilo lijikute likitokomea na magazini yenye risasi'.
Kwa maoni yangu huyu polisi (Sajenti Gaston) ni mzembe!!!!!!!!!
Wadau mnaizungumziaje hii
 
Mtutu akikuwahi na kisu unakua uko kwenye disadvantage, maana mpaka ukoki, mpaka utoe safety mwenzako anakuchoma tu, tena kumpiga mtu na mashine gun ambaye yuko karibu kabisa na wewe ni ngumu.
 
Mtutu akikuwahi na kisu unakua uko kwenye disadvantage, maana mpaka ukoki, mpaka utoe safety mwenzako anakuchoma tu, tena kumpiga mtu na mashine gun ambaye yuko karibu kabisa na wewe ni ngumu.

View attachment 3419...kuna haja ya kila polisi anayekuwa lindoni kupewa body armour vest, au zimeletwa kwa askari magereza tu?
 
Kweli maana wanavyokatiza mitaani na mibunduki yao ni hatari sana sana wengine wanasinzia mchana kwenye malindo ambayo hayana pressure sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom