Polisi aliyemkodi mwenzake ili amtie mimba mkewe, amfikisha mahakamani kwa kushindwa kumtia mkewe mimba

Hii ndondo jamani ilikuwa ya maana sana W engine tusingemcharge hata mia.
Jamaa kala 2M ila hajachelewa atupm tu.
 
Unakula mzigo mara 77 hauzalishi halafu na milioni 2 unazila hivi hivi tu, Halafu jamaa aridhike tu wakati kazi hukuikamilisha?
 
Dah nimesoma hapo katikati imebidi nicheke. Alieitwa kusaidia nae kumbe kasaidiwa!
Ila jamaa kafaidi kala mzigo mara 77!

Mkuu
I dont judge,ila hii inafaa kujengea documentary kabisa!

I can feel their pain mkuu,kukosa watoto ni ishu ingine mkuu,I cant imagine the pain!
 
Back
Top Bottom