Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,597
- 215,272
Sasa kama haki inapindishwa na walio juu huku chini ufanye nini?mamkubwa wewe ni muumini wa haki lakini.
au haki ya kuhubiri
Kuna afisa uhamiaji akimkamata Mchina hana vibali , Mchina alimpa $5,000 wayamalize. Afisa akazikataa, alimuweka ndani. Kesho yake boss wake alimtoa Mchina. Sasa si kheri angejilia $5,000 zake.