Polisi aliyekataa Rushwa ya milioni 10 na kupandishwa cheo apokonywa vyeo vyote, amlilia Rais Samia

Mbona nasikia kasimamishwa kazi kwa kujibu wa PGO ....
Kwa mujibu wa PGO ukipandishwa cheo kama hujakisomea inabidi ukakisomee sasa kama labda hataki kwenda kusomea kwa mujibu huo huo wa PGO wanamshusha arudi alipokuwa.
 
Sijui Ni Mimi TU?

Yaan Sijawai kabisa kujiskia kuwaonea huruma polisi wa nchi hii wanapopatwa na matatizo
Tena kuna askari mmoja jana alimkata mtama shabiki wa Simba aliyeenda uwanjani kumpongeza mchezaji aliyefunga goli, akajikuta anakula mitama na kusababisha jamaa ashindwe kula X-mass vizuri.
Yule askari pia nashauri nae ashushwe vyeo vyote.
 
Kwan utaratibu wa majeshi unasemaje kama askari amekataa kutii amri toka ngazi ya juu yake ?
 
Back
Top Bottom