Polisi akatwa mkono katika ugomvi wa kugombea mwanamke

Huyu Mkenya amestahili kupigwa yaani utoke Kenya eti unakuja kumchukua Mwanamke akiwa kwa mpenzie tena akiwa Tanzania! (Wakurya huwa tunasema hii ni dharau iliyopittiliza yaani utoke Kwenu uje unipige Nyumbani kwetu!) Khaaaa! haiwezekani Mura!
Na je ni sawa MTU atoke nchi nyingine aje akuchukulie mwanamke?........Mimi nahisi pande zote mbili kuna hekima ilikosekana


Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Back
Top Bottom