Polisi acheni visingizio, wekeni mabomu ya machozi na virungu chini, njooni nyuma yetu tuandamane.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,457
154,323
Tulipo taka kuandamana kupinga malipo kwa Dowans mlitupinga kwa kisingizio cha tishio la kushambuliwa na Al Shabab.
Siku ya mechi ya Simba na Yanga mlikuwepo wengi tu pale uwanja wa Taifa.
Sasa kuna maandamano makubwa yanakuja. Tunaomba polisi muweke chini mabomu yenu ya machozi, raia tutaongoza maandamano nyie mtatufuata kwa nyuma.
Peoples Power.
Aluta Continua
 
mi binafsi sina imani tena na hicho kitengo cha ccmmavi
ccmpolis haiwezi kuacha kutumika!! ila dawa yao inachemka.




poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer.
 
Raha sana kuona Ukombozi wa Nchi yetu umekaribia!! Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzz Poweeeeer
 
CCM woyeeeeeeeee!!!!!!!! Haya nendeni mkatafute maji na kuhemea chakula sasa, si mnajua uchaguzi umekwisha kila mmoja atakula kwake.

avatar51044_1.gif
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom