Polis wazuia magari kutanua kwa kuchukua RUSHWA, CHUWA aongoza

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,448
2,000
Wakati tunahitaji barabara kupanuliwa, flyovers etc, na serikali ikifanya mzaha mkubwa, wakati viongozi wa juu wanafaidi huduma ya ving'ora, wananchi wanataabika wanatafuta namna ya kutengeneza daborod kwa ubunifu ili mradi wafike hunyumba mapema, wakunguze gharama za mafuta etc, lakin wajanja wamefanya mradi kwa kuzuia magari na kuchukua fedha, wanajua wenye magari wanajua wanafanya kosa, lakn kila mtu hata polis anajua kuwa hali ya barabra ni mbaya hivyo hulka ya binadamu kutafuta suluhu japo kwa muda bila kuathiri mambo mengine. Askarri hawa wamegeuza chanzo cha mapato.

Tukimbile wapi?? barabaara hazitoshi, mafta bei juu, rushwa nao iko juu. Km8 unatumia saa4??? 11.30jion hadi 3.30usku?? Mwai Kibaki Road /zamani OLD BAGAMOYO ROAD

Nawasilisha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom