Police wameondoka rasmi makazi ya Besigye

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,652
30,495
From IGP Uganda

Diplomats walikwenda na kuona Besigye hana shida tena baada ya uchaguzi tumeamua leo kuondoka.

Hata hivyo tutakuwa tunamfuatilia akienda kinyume na maagizo ama kutenganisha amani ya nchi tutamshugulikia

Loh kweli Africa ina viongozi viazi.
 
Najua ni wa uganda lakini hayana tofauti na ya kwetu tz yanaonea sana sisi wanyonge ila ipo siku uzalendo utaniishia hawa mabwege hawa nina areji nao sana
 
Tatizo nnaliona hapa ni mfumo mmbovu wa upatikanaji wa hawa askari polisi /muundo wa jeshi lenyewe/Katiba mbovu na sheria zisizo endana na dhana au sababu ya kuwepo vyama vingi...

Mfumo wa jeshi la polisi unaingilika au unaingiliwa na wanasiasa kwa manufaa yao(vibaya) hasa wanasiasa ambao Chama chao kitakuwa kinatawala nchi hasa kwa nchi zetu hizi za viongozi wake kupatikana katika mfumo wa vyama vya siasa...
 
Hapana hawa wasenge walishasababisha nikakosa malezi ya baba yangu nawachukia hawa polisi basi tu
 
Back
Top Bottom