tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,119
Naomba kujua kinachoendea kwa hawa askari wetu!!
Kwa hawa watu wa siasa na dini tumejua story ilipoishia lakn kwa hawa police wetu sijui nini kinaendelea dhid yao. Niliwahi kusikia kwamba wako mahabusu ila sijasikia taarifa ya kutoka kwao. Kwa nia njema naomba kujua kinachoendea dhid ya hawa wenzetu.
Kama wako ndani itakua uonevu!! Maana sijawaona wakipelekwa mahakaman. Na kama wametoka na hawana hatia pia wameonewa kama walitangazwa hadharani kwamba wanajihusisha na madawa iweje wasisafishwe hadharan kwamba hawahusiki?
Lakn nina tumaswali kidogo, naandika kwa sauti ya chini chini!
Usiwatangaze watu hadharani yeye kaendeleza mtindo uleule
Hivi sirro ana mtii nani kati ya waziri mkuu na makonda!!
Sirro ana mtii nani kati ya waziri wa mambo ya ndani na makonda? Ikitokea wakatoa matamko yenye kutofautiana!!
Swali la kizushi ina maana makonda interejensia yake ni kubwa had anawazdi wakuu wote police? Yaan mtu aliye nje akagundua uozo wa police kuliko aliye ndani?? Ingekua nchi wanazotumia vichwa kufikiri ilitakiwa wakuu wa police wawe wamejizuru kwa kushindwa kaz had mtu bak kuingilia mziki huo!