Police Na NEC wanaweza chemsha usalama ktk hizi kampeni na baadaye wakakuta watu walichagua shari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Police Na NEC wanaweza chemsha usalama ktk hizi kampeni na baadaye wakakuta watu walichagua shari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicholas, Mar 12, 2012.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Leo CDM wakiwa Tengeru ktk Viwanja kando ya barabara, CCM walikuwa Usa River na bahati mbaya nao walikuwa na watu wengi toka nje ya Arumeru.Baada ya mkutano ilibidi magari mengi yaanze rudisha watu makwao nje ya mji na hawana njia mbala ya haraka zaidi ya kupita tengeru kuelekea mjini kabla ya kuchukua route zao. Muda huo wafuasi na wengine waliohudhuria mkutano wa CDM ndio walikuwa wakiruka barabara kwa wingi, CCM walikuwa wakipita na magari ,wabunge na matajiri walipita na magari mapya na mazuri ila hawa waliotoka njia za Vumbi wapo ktk magari chakavu na wanaonekana kuchoka huku wakishangaa mazingira. Kulikuwepo na akina mama mashaningi na wengine wa design hiyo walianza wanyooshea chadema vidole kwa style ya kuwaambia mnatobolewa...chadema nao wakaanza piga mayowe kuwazomea kwa style ya mayowe ya kifo/msiba kwa watu wa kaskazini wanayajua""Uwii uwii xn"". Nyumba ya gari alilokuwa maepnda Juma nkamia kuna land cruiser likuwa inakuja kasi na alikuwa apiga S barabarani kwa nia ya kugonga wana chadema.Nilikuwa nasubiri basi nami nilikoswakoswa na hilo gari nilipata hasira kwani sikuwa na camera yangu niwarushie hewani . Kuongea na watu wa karibu wa CCM hawkauwa waelewa , nilipowaambia kuwa kwa nini Polisi hawakuwepo kusaidia logistic nzima, hata km wana CCM wa nje ya mji walikuwa wanawahi ndoa zao mwisho lami+barabara za Vumbi.CDM wameonyesha ukomavu kwani uendeshaji huo ulionekana mbove tangu mbali na wangeweza anzisha mawe na kila kitu.Next time nadhani usalama uwe imara.Mbaya zaidi hata mjini walikuwa CCM wanazomewa kila wakipita.Nilipokuwa narusi mjini ktk mabaa na vituo vy mabasi kulikuwa na mayowe ya wezi, mafisadi, vibaraka, wafu, mashoga(NIkambiwa kijana katoga sikio na amekaa kwa cameron), n.k.
   
 2. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,962
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  komaeni na msirushe mawe. Wao na shet**an CDM na Mungu
   
 3. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  jaribu kuweka paragraphs katika uzi wako
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  UKIEDIT posti yako unapoint nzuri na somo kwa wapenda amani wote.
   
 5. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nahisi hujaeleweka
   
 6. B

  Bwana Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Sasa umeongea nini. unapoteza tu nafasi jamvini. In short HUSOMEKI.
   
 7. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  sijui nina access ndogo siwezi edit, plus nikisave paragraphs zina desappear........By the way mr. Bwana You are too simple minded to grasp anything.
   
 8. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  magari ya maji na pilipili arumeru .sijui ndio respsonse ya taarifa hii?Ila nadhani hawajaelewa kuwa tunataka logistic, coordination ya wafuasi na viongozi wa vyama kutoka na kuenda ktk mikutano, zaidi ya hayo magari .hayo yanawafuata watu baada ya kuwa ktk tatizo na pia ainaweza kuwa ngumu kutuliza hata kwa hizo silaha..Bora kuzuia watu kufuka huko.
   
 9. V

  Vitamin K Member

  #9
  Dec 8, 2017
  Joined: Dec 2, 2017
  Messages: 44
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 25
  Mmmmhhh
   
 10. Mwifwa

  Mwifwa JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2017
  Joined: Apr 3, 2017
  Messages: 15,087
  Likes Received: 36,964
  Trophy Points: 280
  Kaburi
   
Loading...