Police January Pantaleo na Unyanyasaji k wa Uana Urambo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Police January Pantaleo na Unyanyasaji k wa Uana Urambo.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by TUNTEMEKE, Apr 7, 2012.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  [FONT=&amp] Pamoja na Mauaji yaliyofanywa na Police wanne na kusababisha kifo cha kijana mmoja mkazi wa Urambo, Police wa kituo hicho wakiongozwa na Police January Pantaleo wameendelea kufanya matukio ya kushangaza kila kukicha. Mnamo tarehe April 4, 2012 January Pantaleo aliwavamia wananchi kazaa katika baa ya Impala na kuanza kuwavulumushia chupa Makonde na Mateke baadhi ya wateja walio kuwepo katika baa hiyo.

  Kijana huyo aliwasababishia maumivu makali vijina hao na kusababisha upotevu wa mali zao na pesa. Swali kwa IGP mwema, je Unawajua wahuni waliopo ndani ya jeshi la Police?

  Au kwanini kila mwezi usiwapime akili vijana wako?. Natumaini utatoa ufafanuzi hapahapa janvini. Kalibu tukusikie[/FONT]
   
Loading...