Police Force Ordinance(Ammendment) Act 1964 and Possession of handcuffs

Hofstede

JF-Expert Member
Jul 15, 2007
3,577
1,107
Jamani naombeni kupata maelezo kama Police Force Ordinance (Ammendment) Act 1964 inakataza mtu binafsi kumiliki pingu. Maana katika sheria za wenzetu kuna vifungu kabisa vinavyokataza mtu binafsi kumiliki pingu mfano

" New York City Administrative Code Section 10-147 - Possession Of Handcuffs, Thumb-cuffs Or Leg Irons By Unauthorized Persons Prohibited."

Je Tazania ipo sheria kama hiyo?.
 
Kwa nini hatumiliki? Kuna sheria yeyote inayokataza umiliki wa pingu?

Nafikiri hakuna sheria hiyo kwa sababu hakuna sababu za kumiliki pingu za nini kwanza kwani umekosa kamba
 
Nafikiri hakuna sheria hiyo kwa sababu hakuna sababu za kumiliki pingu za nini kwanza kwani umekosa kamba

Itakuwa vigumu kumtia hatiani jamaa kwa vile hakuna sheria inayokataza kumiliki pingu.

Kuna wengine watakamatwa kwa kumiliki kondom huku wakiwa na mwanamke mke wa mtu.
 
Itakuwa vigumu kumtia hatiani jamaa kwa vile hakuna sheria inayokataza kumiliki pingu.

Kuna wengine watakamatwa kwa kumiliki kondom huku wakiwa na mwanamke mke wa mtu.

Na hapo polisi wamebugi, na hicho ndicho kielelezo kuwa wameset the whole thing, kwanza sidhani kama kuna maduka duniani yanoyouza pingu kwa raia wa kawaida ila silaha peke yake. Na ikiwa Jerry alikuwa na pingu maana yake aliipata through security organs-polisi.

hapo Kova amechemsha.
Wanamwonea tu dogo.
 
Tanganyika ARMS wanauza pingu, technically ni ruksa kumiliki pingu kwa matumizi binafsi, kwa sababu hakuna sheria inayokataza.
 
Tumejazana watu wengi kwenye top post za organs zetu ambao kwa makusudi hatutaki kutumia vichwa vyetu kufikiri. Tunatumia jazba. Tunafikiri baada ya kufanya yale tunayotaka kufanya na tena kibaya ni baada ya kuvulunda.
Muda unavyosogea mbele ndivyo pia namna ya kuhandle mambo inavyotakiwa kubadilika.
Haya madudu wanayoleta polisi waangalie yatawageuka kama wakiyafanya bila uangalifu!
 
Kwani nyie hamjawahi kufungwa pingu kitandani na wapenzi wenu?

sexy-pink-handcuffs.jpg

fethandbag.jpg
 
Kama kuna mwanasheria hapa atujuze hii issue ya pingu. Navyojua mimi ni mpaka iwe stated clearly kwenye sheria kwamba kumiliki pingu ni kosa ndipo jamaa atakuwa convicted otherwise kufikiri tu kwa Kova kwamba raia wa kawaida hastahili kuwa na pingu hakutosherezi.

Besides, kwa nini Kova kapeleka file la Jerry kwa Mwanasheria wa serikali na sio kwa DPP??? Nafikiri hata jeshi la polisi halina uhakika kama jamaa ana kesi ya kujibu au la!!!
 
Ngoja tuone Wanasheria na Mahakama iasemaje juu ya umiliki na matumizi ya pingu kwa mtu binafsi. hata Polisi wengine hawana uhakika na hili kwa sababu baadhi ya Private Security Companies wanamiliki pingu na kuwagawia wafanyakazi wao.
 
hIVI hII SHERIA YA kUMILIKI PINGU IMEKAAJE MAANA HAIKATAZI MTU KUMILIKI PINGU SASA KAMA HAIKATAZI WEWE KAMA UNAHITAJI KWANINI USIMILIKI? MIMI NINAYO TENA KAMA KUNA MTU ANATAKA NIMPE
 
FETISH ni kitu ngeni kwa Watanzania wa nyumbani.....usikutane nayo ni balaa utapigwa mijeledi na pingu umefungwa kwenye tendegu za kitanda...

S_ni_S kidogo umekosea; fetish ni mojawapo ya magonjwa ya kisaikolojia yahusuyo tendo la ngono (sexual perversion) amabapo mtu huhusisha matendo yasiyo ya kawaida (ambapo kwa kuyafanya sambamba na ngono ama hata bila ngono hupata raha). Fetish huhusisha obsession, ambapo mtu anaweza kuwa na tabia ya kunusa chupi ya mwenza/mpenzi/mke, nguo zenye harufu ya manukato au jasho n.k ili kupata msisimko wa kingono. Hii ya pingu na bakora na kukabana koo kumnyima mwenzio pumzi (cuffs, whips and gagging) inaangukia katika ugonjwa unaoitwa sadism (kupata raha kwa kumsababbishi mwingine maumivu) au masochism (kupata raha kufuatia kuumizwa) au vyote kwa pamoja (sadomasochism).Kunradhi nimechangaya mada kidogo ,lakini sikuwa na jinsi nimeona hii ni nafasi ya kuzuia upotoshaji, ambao pengine sio wa makusudi. Safari ni safari please take no offence....
 
Hakuna Sheria nchini kwetu inayokataza mtu binafsi kumiliki pingu. Labda kama hiyo pingu iwe na nembo ya Serikali ndio tutasema kwamba kosa ni kumiliki/kuchepusha mali ya Serikali isivyo halali! Swali ni kwamba hiyo pingu alikuwa nayo Jerry Muro kwa ajili ya nini? Kwa upande wa bastola haina shaka ni kwa ajili ya ulinzi binafsi, ila pingu ndio inayozua maswali mengi yasiyo na majibu!
 
Kwani kazi ya pingu ni NINI?

Hivi mnafikiri mtu akitaka kufunga mtu mwingine anahitaji PINGU tu?

Alikuwa anazitumia pingu kwa ajili gani, hiyo ni juu yake. Kama kuna mtu akiona PINGU basi anaanza kutetemeka, basi huyo ana matatizo. Mbona Mgambo huwa wanafunga watu mashati, sasa mtu ukikutwa na shati basi ukamatwe kuwa una PINGU.

Mwisho, POLISI wawaelimishe wananchi kuwa ni watu gani wana kazi gani. Unakuta hata Mwana jeshi wa JWTZ ana kagua watu na mizgo yao barabarani. Polisi anakuwa JAMBAZI, mgambo anakuwa POLISI, Jembe Auction wanakuwa POLISI ...... mhhhhhhhhhhhh

plastichandcuffs.jpg

article-1045159-024909E700000578-866_468x353.jpg

Hizi plastic hapa chini ni kwa ajili ya kutumia kwenye kuweka waya za umeme/alectronics pamoja, mabomba, nk. Ila hapa zinakuwa Pingu. Labda akienda dangulo anataka wamfunge pingu................
 
Nkwingwa,kuna zile pingu za Kamba za katani zinatumiwa sana na mgambo wa maeneo ya vijijini kule Sikonge,vipi ukikutwa nazo hizo:D:D
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom