Police fire teargas to disperse NASA, Jubilee supporters

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
1642304.jpg

Askari wa Jeshi la Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya wafuasi wa chama cha JUbilee na wale wanaounga mkono Muungano wa vyama vya Upinzani(NASA).

Wafuasi wa vyama hivyo walipambana nje ya ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mipaka(IEBC).

Wafuasi wa NASA walioandamana awalikuwa wakipiga kelele wakimtaka Mkurugenziwa Uchaguzi, Ezra Chiloba ajiuzulu kutoka katika Tume hiyo huku wale wa Jubilee wakisema wanahitaji amani.

======
Police were forced to fire tear gas to disperse NASA and Jubilee supporters after they clashed outside IEBC's Anniversary Towers offices on Tuesday.

NASA supporters who chanted 'Chiloba must go' were confronted by a group of Jubilee's who shouted 'We want peace'.

Both groups fled after anti-riot officers hurled teargas canisters at them.

Coughing while scampering for safety, some of the protesters were seen running up the University of Nairobi footbridge.

Several volleys of tear gas were fired near the election commission's headquarters, a Reuters witness said. When they regrouped, security officers fired more tear gas and beat some of them with batons.

Among those NASA wants out, for allegedly bungling the August presidential election, is Chief Executive Officer Ezra Chiloba.

In Kisumu, Raila Odinga's supporters marched peacefully in solidarity with their NASA counterparts in Nairobi.

They waved placards reading 'Chiloba must go'.

On foot and motorcycles, they also shouted that reforms must take place at the commission before the repeat election on October 26.

Source: The Star
 
Zaburi 23
1 Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.

2 Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza.

3 Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.

4 Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.

5 Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika.

6 Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.
 
Siku nikifa bible izikwe na Mimi huu mstari ukiwa umefunuliwa, then gozi moja, e.t.c

I'm David by name kwa hiyo huwa najiregard as a king without kingdom.
 
Sawa King David, lakini sijui kwanini hukumbuki jina lako la kweli, la kiafrika, Maguanga?
Maguanga hilo nimeaachia wakina maguangara wenzangu. Majina ya kiswahili yana visasi balaa yaani unakuta most yamebeba laana na mikosi tu na ni mafuatilizi ya waliokufa wanataka na wewe ulibebe ili usimake.

Majina ya wailokufa yana ghubu na matter of fact, David was from Africa...kush...that's where he slept with betshba. So I'm still there at shambuku land sir.
 
Back
Top Bottom