Police collect nearly 800 bodies from Ecuador's virus epicentre

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
ECUADOR: TAKRIBANI MAITI 800 ZA WALIOKUFA KWA #COVID19 ZAKUSANYWA

Wakazi wa Guayaquil wamekuwa wakiweka video zinazoonyesha maiti zilizoko mitaani, huku wakiweka ujumbe wa kuomba msaada wa kuwazika wanafamilia wao

Serikali ya Ecuador imechukua hatua ya kuzika maiti hizo kutokana na kushindwa kwa ndugu kwa sababu mbalimbali ikiwemo matatizo ya kifedha

Polisi wamekusanya maiti takribani 800 tangu waanze kukusanya maiti hizo za waliokufa kwa Covid19. Ecuador imerekodi visa 7500 tangu kutangazwa kwa mgonjwa wa kwanza Februari 29 mwaka huu

Mji Gauyaquil ndio ulioathirika zaidi na ndio kitovu cha CoronaVirus nchini humo

=====

Ecuador has said police removed almost 800 bodies in recent weeks from homes in Guayaquil, the epicentre of the country's coronavirus outbreak, after COVID-19 - the disease caused by the new virus - overwhelmed emergency services, hospitals and funeral parlours.

Mortuary workers in the Pacific port city have been unable to cope with a backlog, with residents posting videos on social media showing abandoned bodies in the streets.

"The number we have collected with the taskforce from people's homes exceeded 700 people," said Jorge Wated, who leads a team of police and military personnel created by the government to help with the chaos unleashed by COVID-19.

He later said on Sunday on Twitter that the joint taskforce, in operation for the past three weeks, had retrieved 771 bodies from homes and another 631 from hospitals, whose morgues are full.

Wated did not specify the cause of death for the victims, 600 of whom have now been buried by the authorities.

Ecuador has recorded 7,500 cases of the coronavirus since the first diagnosis was confirmed on February 29.

The coastal province of Guayas accounts for more than 70 percent of those infected in the country, with 4,000 cases in the capital Guayaquil, according to the national government.

The military and the police began removing bodies from homes three weeks after the mortuary system in Guayaquil collapsed, causing delays in forensic services and funeral homes under a 15-hour-long daily curfew.

Guayaquil residents posted videos on social media of bodies abandoned in the streets, along with messages asking for help to bury their family members.

The Ecuadorian government has taken on the task of burying bodies, given the inability of relatives to do so for various reasons, including financial ones.

In early April, Wated said "medical experts, unfortunately ... estimate that COVID-19-related deaths in these months will reach between 2,500 and 3,500, just in the province of Guayas."
 
mmmmmh yaani vifo 800 maambukizi 7500?
Hiyo inatokana na wrong data collection, na pengine hawafanyi mass testing.
Fact ni kuwa maambukizi huenda yapo juu zaidi ya hiyo figure

Inaniumiza kichwa sana hii, huenda na sisi hali imeshakuwa mbaya ila kwa kuwa hatupo maskini na data tunajiona tupo safe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliokufa ni 333 tu Ecuador

IMG_20200413_164214.jpg
 
Kitu gani hiki kimekuja kwa walimwengu? Kimetoka wapi? Kitaisha lini?
 
Hiyo nchi inauwezo kuliko sisi likifika kwetu itakuaje?.....Mungu atunusuru.... sisi ni nchi masikini kabisa sector zote mbovu hususani ya afya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWA WALE JAMAA ZETU AMBAO KWAO WAO MAZISHI BILA MILION 20 HAWEZI KUZIKA, HAPO ITAKUWA KIZAAZAA MAANA UNAAMBIWA NGUGU ZAKO 30 WAMEFARIKI SIJUI UTATAKIWA UKUSANYE SH NGAPI
 
Hiyo inatokana na wrong data collection, na pengine hawafanyi mass testing.
Fact ni kuwa maambukizi huenda yapo juu zaidi ya hiyo figure

Inaniumiza kichwa sana hii, huenda na sisi hali imeshakuwa mbaya ila kwa kuwa hatupo maskini na data tunajiona tupo safe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,vifo 800 out of 7500 siyo ndogo,hapo ni more than 10% wakati international rate ina range kwenye 1%-5%, labda kama mwandishi amekosea.
 
Corona is serious jamani. China maambukizi yameanza upya. Ss bado hatuko serious na hili janga

Tatizo la China si kama matatizo yameenza upya, yalikuwemo na they did not contain them isipokuwa wao siku zote ni watu/jamii waongo sana, wanaficha Data na sasa serikali imewakataza waandishi wake wa habari pamoja na wananchi waache kuliongelea hili tatizo la corona na watu wanazidi kufa tu.
 
Mkuu waathirika wapya China ni wachina na watu wanaorejea tokea nje ya China.

Waathirika wa namna hii wataendelea kote kwa muda sana.

Hawa ni wale wanaopatikana kwenye zile quarantine za 14 days upon arrival. Tulizizembea sana hizi huu ugonjwa usingekuwa umetufikia.
 
Back
Top Bottom