Police brutality in USA

mr chopa

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
4,602
2,000
Tanzania tuna Amani sana huwezi kuta askari anapiga raia risasi hovyo hivyo labda uwe JAMBAZI ... Bora kua MBWA DAR kuliko kua mtu mweusi marekani...(najua kuna pingapinga litani-quote kunikumbusha habari za Akwilina) lakini huwezi linganisha na kwakina Freedom and Liberty
 
Drizzle

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
4,884

Kitu ikiwa hujakutana nacho live ni rahisi kutoa maneno kama hayo. Ila subiri siku yakukute ndio utaelewa. Hata huko Marekani kuna wengine hawajui hizo hadha na pia wanashangaa yanaowafika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
4,951
2,000
Wazungu wanadeal na African American kama kima shambani, yaani hakuna tahadhari yoyote ile kuhusu uhai wa hawa watu.

Nafkir umefika muda sahihi na hawa Wamerekani weusi nao kulipiza kisasi kila tukio linapotokea walau hawa Askari wajifunze kiwa hawa nao ni binaadamu sawa na wengine.
Polisi wanaua Wazungu wengi kuliko weusi per interaction
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom